Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Makubwa..mwanamke afu apendi kupika...?
 
Aise hakuna kitu nafurahi kama mamsapu akiwa na kamuda akajongea jikoni. Huwa akiingia tu jikoni huwa sitoki. Pamona na kwamba tunaajiri watumishi bur angalau once in a while ingia chafua meza.
 
Honey Faith huyo alizaliwa na kukulia maisha bora, yeye ulaya kaenda toka yuko mdogo kasoma na kuishi nje , japokuwa sasa ivi anaishi kwa kutegemea muziki, anasomesha wadogo zake na kuwalisha kwa ajili ya muziki, sasa pesa za kishua sijui ziliishia wapi
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya kuchambana sijui umbea yeye hata hajui mtoto wa watu, kayumba yenyewe hajui maana yake mmh toto la kishua aka cheusi dawa

yes i do remember the day salama alivyomuulizia kuhusu st.kayumba akauliza ndo nini hyo...?
 
yes i do remember the day salama alivyomuulizia kuhusu st.kayumba akauliza ndo nini hyo...?

Maskin halafu alikuwa hajui kweli akamuuliza salama kayumba ndo wapi tena kwa mshangao, mmh wenzetu hao wanaojua maisha
 
Vanessa mtoto wa kishua toka day one.. Its likely hata atakaemuoa ni wa kishua and probably atakufa akiwa wa kishua bado. That's life.. Some people are gifted.. Don't ask why.

Kwaio ni ishu ya ujiko yeye kujifanya afagilii mambo ya jikoni?? ndio ukishua huo?
 
Na kupika pia hajuii hata kitandan atakua hovyo piaaa (MWANAMKE NI JIKONI) wanajiona wazungu haya aendeleee

mwanaume atakaemuoa atakua kondoo tu coz vanesa shule ipo na hela inaogelea
kuachika ni ndoto
 
mwanaume atakaemuoa atakua kondoo tu coz vanesa shule ipo na hela inaogelea
kuachika ni ndoto

Wabongo ukizungumza kingereza umewamaliza kabisa walivyo washamba...Sasa hapa vanessa tunaambiwa hela inaogelea na shule kubwa hahaha.
 
Wabongo ukizungumza kingereza umewamaliza kabisa walivyo washamba...Sasa hapa vanessa tunaambiwa hela inaogelea na shule kubwa hahaha.

Hiviu ana nini mpaks tujue ana pesaa si angeendelea kuishi US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…