Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ndo hiyo matu inabid uijue
Ana nini na nini huyo vannesa hebu niambie mi sijuii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hiyo matu inabid uijue
Kwaio ni ishu ya ujiko yeye kujifanya afagilii mambo ya jikoni?? ndio ukishua huo?
Kuwa wa kishua kuna husika nn na kutojua kupika mpaka ajitangaze.
unamanisha nn mkuu..mtoto wa watu au.....
Najaribu kusoma comments za wanajamvi nmegundua tunamjudge vanessa kwa kutumia framework za maisha yetu...wengi wetu tumezaliwa kwenye vijiji vya ujamaa huko nyamisati tunamponda vanesa ambae kazaliwa njiro akasoma kiwanja akarudi akaenda kuish south... In short alichosema vanessa hata mabinti wengi ulaya huwa wanakisema.. The gel is just blak bt ni mzungu. Hebu tukubali vanessa hata st kayumba hajui ni nini.
Sijawahi kumsikia akijitangaza kwa hilo.. Anachotangaza vanessa ni switch on service ya airtel.
kumbe na wewe kichwani bure kabisa, shake well before use.
what is special ukiishi ulaya? unawaona wale wacheza soka wa ulaya wakirudi afrika wanakuwa na hayo mashauzi? wale wanapokea zaidi ya millioni 200 kwa wiki sembuse huyu ushuzi?
Haya aendelee basi kutopenda kupika
Nitajie mchezaji ambae akirud kutoka ulaya anakuja kupika.. Acha upuuzi wewe..
Ni kweli wapo wapishi ni kazi zao. Pole yako wrwe umeolewa kazi yako kupika,kufua majinzy na kunyoosha nguo..
kumbe na wewe kichwani bure kabisa, shake well before use.
what is special ukiishi ulaya? unawaona wale wacheza soka wa ulaya wakirudi afrika wanakuwa na hayo mashauzi? wale wanapokea zaidi ya millioni 200 kwa wiki sembuse huyu ushuzi?
We utakua ayo koh koh
Aisee mtoto wa kike unasema kabisa hujui kupika? Mbona Aibu hii...
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
kumbe na wewe kichwani bure kabisa, shake well before use.
what is special ukiishi ulaya? unawaona wale wacheza soka wa ulaya wakirudi afrika wanakuwa na hayo mashauzi? wale wanapokea zaidi ya millioni 200 kwa wiki sembuse huyu ushuzi?
Akiwa anahojiwa na jarida moja la huko
nchini Kenya Vanessa Mdee, afunguka mengi
ambayo
hajawahi kuyasema sehemu nyingine yeyote ile,
na kwa wengi wanaomfahamu mkali huyu wa
anayezidi
ku make headlines na single yake ya
hawajui, watabaki midomo wazi kwa vile
ambavyo walikuwa
hawavijui kabisa kuhusu mwanamuziki huyu
kutoka Tzee. Moja ya mambo ambayo vanessa
huwa hafanyi kabisa mbali na kuwa
mwanamuziki, mtangazaji na mwanaharakati ni
kupika, Vanessa alifunguka na
kusema hata akiwa nyumbani kwake ishu nzima
ya kupika haimjii akili kabisa. Tofauti na
wanawake
wengi wa afrika, hii ishu ni moja kati ya
vitu vilivyotokea kuwashangaza wapenzi wengi
na wadau wanao mzimia Vanessa. Siku alipotoa
hit single yake ya hawajui, Hii ni moja ya
single aliyoitoa kwa watu ambao
walikuwa hawamkubali hasa baada ya maneno
yao kuzidi kusema kuwa Vanessa hakustahili
tuzo ya
Kilimanjaro Music Awards aliyoipokea na
wengine kusema hakuwa tayari kupokea tuzo
hiyo, jambo hili
lilimhuzunisha sana Vanessa, hii
ilimsukuma vanessa kuandika kuhusu watu wale
ambao walikuwa awamkubali(Haters), na kutoa
kitu hiki kinachozidi ku-make headlines kila
siku. Vanessa
alifunguka na kusema kuwa umaarufu kama
wake unakuja na faida zake mbali na kuwa
na vikwazo vingi katika kazi, moja ya faida zake
ni kuwa huwa mara nyingi hapangi foleni
anapoenda mahali, alizidi kufunguka na kusema
siku moja aliwahi kushikwa na polisi barabarani
kwa kutofunga mkanda akiwa anaendesha, polisi
alivyofika pale Vanessa aka-smile tu na
kumuomba msamaha na officer yule akabidi
amuachie tu. mbali na kufunguka kote huko
Vanessa anasisitiza
kuwa ni vizuri kwa mtu wa kutokata tamaa katika
ndoto zako.
mpuuzi mkubwa ni wewe visenti vya zitto kabwe huvipati tena sasa umegeuka kuwadi wa manyani, kwa akili hizi wazungu wakiwapa ndizi msiwe mnashangaa, Queen Elizabeth herself anapika huyu sembuse huyu gorilla?