Yeye mwache aone uvivu mpaka k.uma aoshwe.
Mwanamke wajisifu hupendi kupika!!!? Nahisi hata kuiosha ni hivyo hivyo kiuvivu!
Yo a hook girl!
story za vijiweni unaleta wewe, vipi kibaruwa kwa zitto kabwe kimeisha? maana hii ajila mpya ya ukuwadi inazidi kukudhalilisha na kuondoa hata utu mdogo ulionao.Weweee stop bringing the problems of 90's to 2 thou. Hebi nitajie ni lini ulimuona malkia elizabeth akipika... Hizi stori za vijiweni mnatuletea...acha mawazo mgando wewe hata ukienda hapo misri tu.. Wanawake huwa sio kazi yao kupika. Mnakariri
story za vijiweni unaleta wewe, vipi kibaruwa kwa zitto kabwe kimeisha? maana hii ajila mpya ya ukuwadi inazidi kukudhalilisha na kuondoa hata utu mdogo ulionao.
story za vijiweni unaleta wewe, vipi kibaruwa kwa zitto kabwe kimeisha? maana hii ajila mpya ya ukuwadi inazidi kukudhalilisha na kuondoa hata utu mdogo ulionao.
Haya aendelee basi kutopenda kupika
Hawa ndio huwa hawaolewi na wakiolewaa housegirl lazima ammiliki mume wakee
Hapendi au hajui kupika? Maana mtu anaweza kujifanya hapendi kumbe ukweli hata chai hajui inatengenezwaje!
Kupanga ni kuchagua...hata akioshwa as long hai affect maisha yake wewe inakuuma nini. Miss strong camoon..!
Umeonaeee mwanamke hujui kupika na hapendi ptuuuuuu
Mume wake atapata shida sana
Hajui raha ya kumwandalia mume chakula huyu
Umeona eeeh!tatizo wanaendekeza sana uzungu ambao hauna manufaa.Hakuna mwanaume ambaye kila siku yeye atafurahiwa kupikiwa chakula na dada wa kazi
Kuna siku nlimsikia mwanaFA akisema tanzania ukiwa na upeo mkubwa utaishi kwa shida sana. Hii kau.li ni kweli kbisa.. Hapa mtu kasema ukweli kuwa hapendi kupika kwani ni dhambi mnamshambulia? Ila angesema jaydee au wema sepetu au snura mngeona kawaida.. Kupenda kupika haina uhusiano na nidhamu katika maisha. Tumieni akili.
Mi mwenyewe sipendi kupika basi tu I have to
haterskumbe na wewe kichwani bure kabisa, shake well before use.
What is special ukiishi ulaya? Unawaona wale wacheza soka wa ulaya wakirudi afrika wanakuwa na hayo mashauzi? Wale wanapokea zaidi ya millioni 200 kwa wiki sembuse huyu ushuzi?