Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Vanessa mtoto wa kishua toka day one.. Its likely hata atakaemuoa ni wa kishua and probably atakufa akiwa wa kishua bado. That's life.. Some people are gifted.. Don't ask why.
kutokupenda kupika ni sunna
Kufa kishua kukoje?...lol
watu wamejaa miwivu tu. ooh hataolewa! kwani kuolewa ndio kuishi? watanzania sijui tumelogwa na nani?
Labda aolewe na mzungu,nadhsn unawajua wa kiafrika,pia vannesa sio mzungu ni mtanzaniaa ni kawaida ajue kazi zoteee, Jay z mwenyewe anapikiwa na beyonce na ni matajirii, leo vanessa my ass
Kwani huyu ni naniii, toka insta ije kila mtu maarufu ushuziii
Cha kushangaza mimi elimu yangu inakuwa kubwa yeye hadi wa leo anafundisha primary
Oh kid.. The problem about you is you read a lot.. And you believe evrything simply its written. Gv us a break.. okot p bitek the writer of songs of lawino unaijua background ya maisha yake? People tends to talk what saround em.
Na kupika pia hajuii hata kitandan atakua hovyo piaaa (MWANAMKE NI JIKONI) wanajiona wazungu haya aendeleee
Wazungu gani hao mbona wao wanapika?
Nami nashangaaaaa
Unajua binamu Tandale mmebarikiwa vipaji sana, maana nikimuangalia Kitorondo yupo vizuri kwenye muziki na wewe upo vuzuri kwenye umbea,Rommy yupo vizuri kwenye udananda.
kazi ipo kwenu tu tamaduni za ulaya kawaida vanessa anafuata tamaduni za kishua kutokea hukoo duniani sio huku kwetu makaburini
Aliyekudanganya ulaya hawapiki nani? kule baba mama na watoto mnapeana zamu za kupika tena ulaya unafanya kazi kuliko bongo maana kuajiri house girl ulaya ni big issue....
Sidhani Kama hii ni Sifa kwa mtoto wa kike
Anajipaisha tu hana lolote.....
Najaribu kusoma comments za wanajamvi nmegundua tunamjudge vanessa kwa kutumia framework za maisha yetu...wengi wetu tumezaliwa kwenye vijiji vya ujamaa huko nyamisati tunamponda vanesa ambae kazaliwa njiro akasoma kiwanja akarudi akaenda kuish south... In short alichosema vanessa hata mabinti wengi ulaya huwa wanakisema.. The gel is just blak bt ni mzungu. Hebu tukubali vanessa hata st kayumba hajui ni nini.
Labda we atakusikiaaaaaa