Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Vanessa mtoto wa kishua toka day one.. Its likely hata atakaemuoa ni wa kishua and probably atakufa akiwa wa kishua bado. That's life.. Some people are gifted.. Don't ask why.

Kufa kishua kukoje?...lol
 
watu wamejaa miwivu tu. ooh hataolewa! kwani kuolewa ndio kuishi? watanzania sijui tumelogwa na nani?

Labda aolewe na mzungu,nadhsn unawajua wa kiafrika,pia vannesa sio mzungu ni mtanzaniaa ni kawaida ajue kazi zoteee, Jay z mwenyewe anapikiwa na beyonce na ni matajirii, leo vanessa my ass
 
Labda aolewe na mzungu,nadhsn unawajua wa kiafrika,pia vannesa sio mzungu ni mtanzaniaa ni kawaida ajue kazi zoteee, Jay z mwenyewe anapikiwa na beyonce na ni matajirii, leo vanessa my ass

umesema aolewe na wazungu,....
kwani wazungu hawapiki

unanishangaza afu unasema beyonce anapika loooo

kujua kupika muhimu aache hakuna wenye wivu nae
 
kaburi lake litakuwa kwenye ndege na mazishi yatafanyika angani. na wewe umekuwa hater eheeeeh!!

O.M.G Matola umeua bendi....ha ha ha ha mbavu zangu.kama itakuwa kwenye ndege waombolezaji watapotea kama ndege ya malyasia
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha binamu,mwalimu wako wa kiingereza wa shule ya msingi Tandale magharibi atakuwa so proud of you.

Cha kushangaza mimi elimu yangu inakuwa kubwa yeye hadi wa leo anafundisha primary
 
Cha kushangaza mimi elimu yangu inakuwa kubwa yeye hadi wa leo anafundisha primary

Unajua binamu Tandale mmebarikiwa vipaji sana, maana nikimuangalia Kitorondo yupo vizuri kwenye muziki na wewe upo vuzuri kwenye umbea,Rommy yupo vizuri kwenye udananda.
 
Oh kid.. The problem about you is you read a lot.. And you believe evrything simply its written. Gv us a break.. okot p bitek the writer of songs of lawino unaijua background ya maisha yake? People tends to talk what saround em.

Why are you involving okot into this?, i think u did not get me well, was just talking about the poem and the messages contained not otherwise.

The poem was about african woman(like Vannesa) who was trying to live western ways of life and despise their own African culture, and thats y i said it reminds me of the song.
 
Unajua binamu Tandale mmebarikiwa vipaji sana, maana nikimuangalia Kitorondo yupo vizuri kwenye muziki na wewe upo vuzuri kwenye umbea,Rommy yupo vizuri kwenye udananda.

Na wa kitorondo anajua kiinglishi balaaaaa
 
kazi ipo kwenu tu tamaduni za ulaya kawaida vanessa anafuata tamaduni za kishua kutokea hukoo duniani sio huku kwetu makaburini


Aliyekudanganya ulaya hawapiki nani? kule baba mama na watoto mnapeana zamu za kupika tena ulaya unafanya kazi kuliko bongo maana kuajiri house girl ulaya ni big issue....

Sidhani Kama hii ni Sifa kwa mtoto wa kike
 
Aliyekudanganya ulaya hawapiki nani? kule baba mama na watoto mnapeana zamu za kupika tena ulaya unafanya kazi kuliko bongo maana kuajiri house girl ulaya ni big issue....

Sidhani Kama hii ni Sifa kwa mtoto wa kike

Labda we atakusikiaaaaaa
 
Najaribu kusoma comments za wanajamvi nmegundua tunamjudge vanessa kwa kutumia framework za maisha yetu...wengi wetu tumezaliwa kwenye vijiji vya ujamaa huko nyamisati tunamponda vanesa ambae kazaliwa njiro akasoma kiwanja akarudi akaenda kuish south... In short alichosema vanessa hata mabinti wengi ulaya huwa wanakisema.. The gel is just blak bt ni mzungu. Hebu tukubali vanessa hata st kayumba hajui ni nini.


Unaonekana mshamba nawewe wazungu hawajui kupika?

ha ha ha Kama wazawa wenyewe Wa kule kazi za ndani wanajifanyia wenyewe itakua wakuja?

Acha kujidanganya hata ulaya kuna classes Kali kuliko hapa bongo...

kule kuna shule za walalahoi na matajiri Kama hulitambui hilo...

tumeishi ulaya enzi hizo wazazi ni diplomats tumepika....tumefua....tumeosha vyombo n
k n.k

watu wenye uwezo wa kuishi maisha hayo mnayosema ulaya ni matajiri tu na sio wategemea mishahara hasa wakuja Kama hao...

pole Sana kwa kufungwa kamba
 
Labda we atakusikiaaaaaa


Bina watu ni wageni mno na life la mbele...

hapa bongo hata mwalimu wa shule ya msingi anaweza amua kuajiri house girl wa kupikia watoto lakini si ulaya kwenye haki...


kule si ajabu kukuta hata waziri anajipikia nyumbani nimeshangaa watu wanavyosema eti hajui kupika kwakua ni mzungu mweusi...

kule wazungu wanapika...wanafua nguo..wanaosha vyombo na usafi wa nyumbani wanafanya...

watu wanaoonekana mbwa kule ulaya huku tunaita wa kishua....

Too low
 
Back
Top Bottom