VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana

Vaa ni ufala tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VAR inawapa favor zaidi liverpool kwa sasa japo kuwa wana kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote Epl na binafsi naamini hata bila haya makandokando ya VAR bado wangeweza kuchukua ubingwa. Ila EPL wangejitahidi kupunguza interest za kibiashara zaidi na wa balance bussiness na burudani kwa pamoja kuliko huu mtindo wa kuyapanga matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAFIKIRI FA INGERUDI KWENYE MALENGO YA UANZISHWAJI VAR

MAANA KWA EPL VAR IMEKUA INAMUAMULIA REFA NINI CHA KUFANYA NA SIO INAMSAIDIA REFA KATIKA KUFANYA MAAMUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VAR ni haki bini haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…