VAR yaonyesha Goli la Orlando Pirates ni offside dhidi ya simba lakini Refa akataa kutumia VAR

Waje huku tuwasulubu hawa muhamedi fc 😀
 
Hii robo fainal itumike kuwakumbusha Simba kitu kimoja tu, huwezi kufika mbali kama una mshambuliaji ambaye anakaa na mipira badala ya kufunga. Kati ya Mugalu Bocco na Kagere, lazima waachwe watu wawili kati ya hao watatu. Kama tukioneana aibu kuambiana kweli mafanikio yatakuwa robo fainali kila mwaka.

Kila siku tutakuwa tunatoka robo fainali tunafarijiana tumepembana!! Mimi sipo kundi hilo. Simba ingekuwa na wafungaji mechi ya dar ingeweza kuwa na goal zaidi ya moja. Timu inacheza kikiwa sana msimu huu. Lazima asajiliwe mtu mwenye uhakika wa kufunga. Target man haepukiki.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba ndio mmechukua kombe level hiyo[emoji3]
Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
 
Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Saizi mna bilion ngapi? Gap la point 13 huoni? Au bado waharamia wamekuteka?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…