Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Bora hata wao tumeoneshwa imewaka,kwetu hapa si ilizimwaPoleni simba hizo ndio fitina, Mlitafuta wenyewe sasa watu wamewaonyesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata wao tumeoneshwa imewaka,kwetu hapa si ilizimwaPoleni simba hizo ndio fitina, Mlitafuta wenyewe sasa watu wamewaonyesha
sikua na mood ya kucheka Leo Ankori unajua kuvunja mbavu Watu,
Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.Cha ajabu yanga wanafurahia kuliko Orlando ukisikia uchawi ndo huo sasa.
Haaahaa,,wamesahauWakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
Itafikia mahali hii teknolojia itatuangusha sana ,bado africa kutumia hii kitu
Endeleeni kufurahi ila kufika level za simba sio rahisi.Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
Kwa hiyo mmelipiza ?Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
Subiri Kipigo Chako Kingine Tar 30, Mjiharishie Kabisa [emoji23]Endeleeni kufurahi ila kufika level za simba sio rahisi.
Kwamba ndio mmechukua kombe level hiyo😀Endeleeni kufurahi ila kufika level za simba sio rahisi.
Nyie penalty ya lupaso ilikuwa halariRefa kala mlungula. Achunguzwe
Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.Kwamba ndio mmechukua kombe level hiyo[emoji3]
Sasa tucheze na kaizer chief na Orlando pirates na al ahly tuiogope yanga kweli lucky emel hakukosea kuwaita vile.Subiri Kipigo Chako Kingine Tar 30, Mjiharishie Kabisa [emoji23]
Saizi mna bilion ngapi? Gap la point 13 huoni? Au bado waharamia wamekuteka?.Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Wewe ongelea goli na offside na mwingine ataongelea handball ya Kapombe.Poleni simba hizo ndio fitina, Mlitafuta wenyewe sasa watu wamewaonyesha
dah,ila kweli wapigwe tuMpigwe tu
Angalizo: Msije Kushangilia Kutoa Sare Tu Kama Mwanzo [emoji23]Sasa tucheze na kaizer chief na Orlando pirates na al ahly tuiogope yanga kweli lucky emel hakukosea kuwaita vile.