Halafu tabia ya kuwashabikia wageni kwa nguvu hapa Tanzania walianza Simba kile kipindi Yanga wanacheza sana kimataifa. Nakumbuka mpaka ilileta mgogoro kati ya Yanga na TFF Yanga, hayo yote watu wamesahau. Hata hii ya Yanga kuanza kuwapokea wageni Airport ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa Simba, miaka ya nyuma hali haikuwa kama ilivyo sasa. Nafikiri mashabiki wa pande zote wanatakiwa kubadilika.Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
kwa madibaHela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Unaitafsiri vibaya; hao wawili walikuwa offside, lakini aliyefunga bao hakuwa offiside. In fact staff wa VAR baada ya kuangalia tukio lote mara kadhaa ndio walimwambia refree kuwa hiyo siyo offside, ndiyo maana hata refa hakwenda kuiangalia video yenyewe.
Kwanini hukupiga filimbi na umeikalia tu?Usisahau pia wao wamenyimwa penati 2 za wazi
Simba aliandikiwa kuwa atakuwa bingwa wa hilo kombe milele? Ngoja vyura nao mwaka huu walichukue wafurahi maisha yasonge.Saizi mna bilion ngapi? Gap la point 13 huoni? Au bado waharamia wamekuteka?.
Umeandika hivyo bila shaka hata kiasi wanachochukua Simba hukijui halafu unasema ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano. Bingwa wa ligi kuu msimu anapokea milioni 500, wakati Simba inachukua usd 350,000 ambayo ni sawa na milion 815Hela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Mlikuwa hatua gani??[emoji848][emoji848]Wakati Said Bahanuzi anakosa penalty Muhimu Yanga dhidi ya Ahly pale Cairo 2013 Simba walipiga honi za Magari na hatukupumua.
Msicheze ligi muwe mnacheza huko hukoHela aliyopata simba ni sawa na kuwa bingwa ligi kuu miaka mitano kwani si hata bingwa si anapewa hela badala mjifunze mnaiponda simba hivi ile the return of the champions iliishia wapi.
Simba queen wame lala Leo kwa Yanga dadas 0__1Subiri Kipigo Chako Kingine Tar 30, Mjiharishie Kabisa [emoji23]
Handball gani aliyoicheza kapombe?Wewe ongelea goli na offside na mwingine ataongelea handball ya Kapombe.
Hii uliona peke yako? Mimi sipofushwi na mapenzi. Kama ingekuwa ni hivyo mpira usingesimama DK 2 kusubiri maamuzi.Handball gani aliyoicheza kapombe?
Ile ya bega ndio mnaita handball?
Sheria za mpira mbona ziko wazi sana
View attachment 2199507
Usilete ubishi kiholela na usipindishe ukweli kwa kujinasibu huna mapenzi na timuHii uliona peke yako? Mimi sipofushwi na mapenzi. Kama ingekuwa ni hivyo mpira usingesimama DK 2 kusubiri maamuzi.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Ile kauli ya mara 10 imepotea?Simba aliandikiwa kuwa atakuwa bingwa wa hilo kombe milele? Ngoja vyura nao mwaka huu walichukue wafurahi maisha yasonge.
Ndivyo mpira ulivyo .
Level za robo fainali?Endeleeni kufurahi ila kufika level za simba sio rahisi.
Mlimfunga lini kwenye ligi? Wakati unamfunga Al Ahly ulimfunga Yanga? ... Ndo utambue kuna mipaka. Kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.Sasa tucheze na kaizer chief na Orlando pirates na al ahly tuiogope yanga kweli lucky emel hakukosea kuwaita vile.
Wee ulijua lini na ni mpya!Leo ndo unajua?
Ikulumbilu Mungu chakumemenaPoleni simba hizo ndio fitina, Mlitafuta wenyewe sasa watu wamewaonyesha