Vasectomy inataka kuleta balaa!

Hivi ukifanyiwa hii mbegu hazitoki ukimaliza pale au? unatoka upepo au? maana mambo mengine haya mwanaum kabisa wa kiafrika unaenda kufunga uzazi wakati unajua kabisa umeachana na mwenzako, kwa nini asingeoa mjane mwenye watoto au aliyeachka mwenye watoto?
 
BlackBerry ndio maana tunasema hii maada ya leo ni pasu kichwa
 

Mimi nabaki kusoma mapoint yako tu maana naona nikichangia nitaharibu sasa
 
Katika viungo vya uzazi vya mwanaume mbegu huwa zimetenganishwa na shaha..,wakati wa kufika kileleni mbegu hutoka kwenye kifuko chake zikachanganyikana na shaha.. na kisha kutoka nje.Shaha.. inazipa mbegu vehicle ya kuogelea. Kwenye vasectomy wanakata mirija inayoleta mbegu kutoka kwenye kifuko chake na ndo maana aliyefanyiwa vasectomy anaendelea kufika kileleni kama kawaida lakini ndo hivo bunduki yake inakuwa ni mlio tu haina risasi.
 
Punguza hasira mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…