Vatican inamiliki dunia

Ingia Kwenye Search engine usearch wewe mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata TZ makanisa yanapewa na serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kabisa we na wewe ni MTU mzima Kabsaa akili yako inafanya kazi pia na wewe, na una watoto wanakutegemea?
 
Hivi kabisa we na wewe ni MTU mzima Kabsaa akili yako inafanya kazi pia na wewe, na una watoto wanakutegemea?
Ni mzima nategemewa na mpaka na mama ako? Ni kweli wengi hawapendi ukweli na hata wakijua ni ukweli watataka kuamini uongo ili wajinufaishe mioyo yao. Just try to uncover the unknown. Mungu toka lini akatemsha kitabu duniani, mbinguni kuna printer achane zenu bana...
 
😎😎😎😎😎
 
Kuna wapuzi humu wanachekesha tangu lini Vatican walianzisha uislamu na wapi na ilikua lini wacha nicheke Mimi hahahahaaa kuna watu mijinga dunia hii
 
Kuna wapuzi humu wanachekesha tangu lini Vatican walianzisha uislamu na wapi na ilikua lini wacha nicheke Mimi hahahahaaa kuna watu mijinga dunia hii
kwanza nakushukuru kwa kuangalia moja kati ya uzi bora 2019
pili sijafurahishwa nakutumia jina wapuzi humu wanachekesha
ungetumia jina polite bado ungeeleweka vizuri University_Promo

tatu gusa hapa
 
Hapa kuna mambo ntatengeneza uzi kuhusu hii June lazima ukweli ujulukane haaaaaala!
😎😎😎😎😎
 
Alie kudanganya uo ujinga hadi ukajiita Jesuit master ni mwehu

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Unanifahamuuu unajua niko wap?????
vitu vingine pita juujuu usifuatilie ndani sana hutaishi kwa Amani.
 
Mjinga zaidi ni anaeujua ujinga halafu anaufanya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wapuzi humu wanachekesha tangu lini Vatican walianzisha uislamu na wapi na ilikua lini wacha nicheke Mimi hahahahaaa kuna watu mijinga dunia hii
Siku zote asiyejua akijuzwa huona wanaojua wanapomjuza wajinga. Tuache itikadi tutafute ukweli au hata possibility.
Kuna possibility kubwa Uislamu ulianzishwa na Roma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote asiyejua akijuzwa huona wanaojua wanapomjuza wajinga. Tuache itikadi tutafute ukweli au hata possibility.
Kuna possibility kubwa Uislamu ulianzishwa na Roma.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Big up Mr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…