"SI KILA ATAYENIJIA AKINIITA BWANA BWANA ATAUONA UFALME WA MUNGU"
MATHAYO 7:21-23.
2WAKORINTHO 11:14-15 "Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
15 Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao."
MATHAYO 7:41-20 "Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.
20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua."
WAENENDE KWA SHERIA(AMRI 10 ZA MUNGU) NA USHUHUDA(MATENDO ALIYOYATENDA YESU NA MANABII WAKE).
ISAYA 8:19-20 19 "Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong’ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?
20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi."
USIIAMINI KILA ROHO.
1YOHANA 4:1-6 "Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
4 Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia.
5 Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia
6 Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu."
"MPENDWA NJIA YA KWENDA MBINGUNI NI NYEMBAMBA NA WAINGIAO NI WACHACHE" TAYARI "RC" IMEKUPELEKA MOTONI SABABU INA WAFUASI WENGI SANA.
JE HAYO MAFUNGU YOTE YANAFUATWA NA "RC"???
JITATHMINI KWANZA NDIPO UJE NA UTHIBITISHO KUWA "RC" NI DHEHEBU LA MUNGU LAKINI KWA 100% "RC" NI WAKALA WA LUCIFER(SHETANI) NA NDIYO WATAOHUSIKA KATIKA KUTIMIZA UNABII.
DANIEL 7 & UFUNUO 14.
Sent using
Jamii Forums mobile app