Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Aisee 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo papa akaandika Qur'an anasubiri mwezi wa ramadhan akaenda kuitupa uarabuni, au aliipelekaje?uislamu ulianzishwa na papa sasa jiulize dunia nzima waislamu wapo wapi.... najua mtabisha na hasira itakua kali ila nyie ni kadini ka majaribio papa aliona aanzishe kuwavuruga tamaduni ya kanzu
kwahiyo sisi waisrael ndo mmetushusha nyota za kushikilia dunia???Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.
Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia.
Rais wa Italia, Bwana Sergio Mattarella hana mamlaka katika serikali ya Vatican, ila Papa ana mamlaka makubwa katika serikali ya Italia.
Mtu wa Vatican anahesabika ni Muitaliamo pia, ila Muitaliano huhesabiki kama Mvatican.
Polisi wa Italia wakienda Vatican, kuna sehemu hawatakiwi kukanyaga kabisa, yaani wamewekewa mipaka ya kuvuka nchini humo.
Vatican ina raia 800 tu ila ndiyo wanaisshikilia dunia yenye binadamu zaidi ya bilioni 7.
Vatican hakuna hospitali, so hakuna suala la kusema umepata uraia kwa kuzaliwa. Wao washajiwekea ni watu 800 tu. Akifa mmoja, analetwa mwingine.
Hapo Vatican kuna museum 70,000 ambapo utaangalia historia za sehemu mbalimbali. Wana vitabu vya historia ya kila taifa duniani. So wanazijua nchi zote mpaka serikali zake. Na kwa siku hupokea watalii 25,000.
Vatican ina miaka 95 tu tangu alianzishwe.
Ndani ya Vatican, kuna maeneo mtu mwenye tattoo haruhusiwi kuingia.
Papa halipwi ila Vatican huingiza mapato ya dola milioni 300 kwa mwaka ambazo hutumika kwa ajili ya chakula, pesa kidogo kwa papa na kugharamia safari zake.
Wanajeshi kutoka nchini Uswisi ndio wanaoilinda Vatican.
Vatican haizitambui nchi mbili tu duniani, China na Korea Kaskazini.
Benki ya Vatican inamiliki assets ya dola bilioni 64.
Vatican inatumia benki ya Istituto per le Opere di Religione kuhifadhi pesa zao. Kuna kipindi wezi waliiba humo, walikufa vifo vya kutatanisha.
Unapoingia Vatican, unaruhusiwa kubeba kamera yako popote pale isipokuwa katika kanisa la Sistine.
Unapoingia kwenye museum yoyote pale Vatican, unaruhusiwa kupiga picha ila kamera isiwe na flash.
June 22 mwaka 1983 mwanamke aitwaye Emmanuela alipotea katika mazingira ya kutatanisha huko Vatican alipokuwa akisomea shule ya muziki.
Vatican inamiliki telescope kubwa huko Arizona ya kufanyia tafiti zao mbalimbali.
Huwa nawaambieni, mkisikia Papa, jua umemsikia mtu mkubwa sana, yaani mkubwa kuliko unavyofikiria. Na ukisikia Roman Catholic, jua umesikia kanisa kubwa mno kuliko unavyofikiria.
Kuna maamuzi huwezi kuyafanya pasipo ruhusa kufika Vatican.
Dunia ipo kiganjani mwao.
Vatican ina ukubwa wa eka 105 tu., imeundwa juu ya vilima Saba.Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.

Inauma eeeeeeh!?Sema wanashikilia ulimwengu wa wamagharibi sio dunia nzima
Wanaachaje kuwa chini yake wakati dini kawaletea yeye?Tofaotisha waarabu na uisilamu nchi zote za kiarabu ziko chini ya papa lakini waisilamu hawako chini yake
Kuskilizwa ni kama urafiki tu ila sio kufata kile anachosemaPapa au Vatican inasikizwa sana na ndivyo ilivyo na sio sehemu za wakristo huko Kwa Waislam Papa akienda wanamsikiliza Kwa makini[emoji6]
Ni freemason pia, wanamtukuza shetani.Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.
Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia.
Rais wa Italia, Bwana Sergio Mattarella hana mamlaka katika serikali ya Vatican, ila Papa ana mamlaka makubwa katika serikali ya Italia.
Mtu wa Vatican anahesabika ni Muitaliamo pia, ila Muitaliano huhesabiki kama Mvatican.
Polisi wa Italia wakienda Vatican, kuna sehemu hawatakiwi kukanyaga kabisa, yaani wamewekewa mipaka ya kuvuka nchini humo.
Vatican ina raia 800 tu ila ndiyo wanaisshikilia dunia yenye binadamu zaidi ya bilioni 7.
Vatican hakuna hospitali, so hakuna suala la kusema umepata uraia kwa kuzaliwa. Wao washajiwekea ni watu 800 tu. Akifa mmoja, analetwa mwingine.
Hapo Vatican kuna museum 70,000 ambapo utaangalia historia za sehemu mbalimbali. Wana vitabu vya historia ya kila taifa duniani. So wanazijua nchi zote mpaka serikali zake. Na kwa siku hupokea watalii 25,000.
Vatican ina miaka 95 tu tangu alianzishwe.
Ndani ya Vatican, kuna maeneo mtu mwenye tattoo haruhusiwi kuingia.
Papa halipwi ila Vatican huingiza mapato ya dola milioni 300 kwa mwaka ambazo hutumika kwa ajili ya chakula, pesa kidogo kwa papa na kugharamia safari zake.
Wanajeshi kutoka nchini Uswisi ndio wanaoilinda Vatican.
Vatican haizitambui nchi mbili tu duniani, China na Korea Kaskazini.
Benki ya Vatican inamiliki assets ya dola bilioni 64.
Vatican inatumia benki ya Istituto per le Opere di Religione kuhifadhi pesa zao. Kuna kipindi wezi waliiba humo, walikufa vifo vya kutatanisha.
Unapoingia Vatican, unaruhusiwa kubeba kamera yako popote pale isipokuwa katika kanisa la Sistine.
Unapoingia kwenye museum yoyote pale Vatican, unaruhusiwa kupiga picha ila kamera isiwe na flash.
June 22 mwaka 1983 mwanamke aitwaye Emmanuela alipotea katika mazingira ya kutatanisha huko Vatican alipokuwa akisomea shule ya muziki.
Vatican inamiliki telescope kubwa huko Arizona ya kufanyia tafiti zao mbalimbali.
Huwa nawaambieni, mkisikia Papa, jua umemsikia mtu mkubwa sana, yaani mkubwa kuliko unavyofikiria. Na ukisikia Roman Catholic, jua umesikia kanisa kubwa mno kuliko unavyofikiria.
Kuna maamuzi huwezi kuyafanya pasipo ruhusa kufika Vatican.
Dunia ipo kiganjani mwao.
haha mbona kama unaijua stori yenyewe mule muleKwahiyo papa akaandika Qur'an anasubiri mwezi wa ramadhan akaenda kuitupa uarabuni, au aliipelekaje?
Wanaamini zinaenda mbinguniKatoriki ni moja wapo ya taasisi za kidini zilizokuja Africa kutupumbaza na kututapeli.
Wamekuja Africa tumewachangia mipesa wamepata mitaji, wamefungua biashara kubwa ambazo zinaingiza pesa nyingi Ila sisi sio sehemu ya umiliki wa hizo mali na biashara.
Kweli Africa ni bara la wapumbavu.
nakushauri nenda shia kutakufaa zaidiSema huyu Papa sijui anatupeleka wapi! Anyways, tunamuamini na kumtii Mungu si Papa.
Kama huna jibu ungekitulizaChina hawaitambui dini hiyo
Kuliko Iran?China inapinga na kuuwa mashoga.