Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 598
- 1,151
China wana dini yao ya muda mrefu sana, dini ya budha. Hakuna ukristo wala uislamuKama huna jibu ungekituliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China wana dini yao ya muda mrefu sana, dini ya budha. Hakuna ukristo wala uislamuKama huna jibu ungekituliza
heko ChinaChina inapinga na kuuwa mashoga.
Sehemu zisizo na Wakatoliki bado zinafikika na Marekani, huwezi kimbia Vatican Dunia hii!Sawa ila sidhani kama ni sahihi kusema dunia ipo kiganjani mwao. Ila naona ni sahihi kusema wana ushawishi sehemu kubwa duniani, sehemu ambazo zina wafuasi wengi wa kikatoliki.
Ila sehemu zingine kama China, Korea, Japan, India, Uarabuni na sehemu zingine zinazotukuza tamaduni zao, Vatican hawawezi Fanya chochote.
sio kwel ndan ya China na hata hiyo N.Korea ushoga haupigwi vitaChina inapinga na kuuwa mashoga.
Haiamini uwepo wa Mungu yaani ni wakomunist.Kwanini china haitambuliki na vitican?
Unaijua historia lakini?Katoriki ni moja wapo ya taasisi za kUidini zilizokuja Africa kutupumbaza na kututapeli.
Wamekuja Africa tumewachangia mipesa wamepata mitaji, wamefungua biashara kubwa ambazo zinaingiza pesa nyingi Ila sisi sio sehemu ya umiliki wa hizo mali na biashara.
Kweli Africa ni bara la wapumbavu.
Mkuu nje ya mada kidogo, ni kwa nn vijana waliosomea upadre wa katoliki specifically, wakafika stage fulani huko mbelembele alafu mambo yakawashinda huko, wakirudi mtaani wanakuwa kama hawako sawa hivi. Kuna mmoja tupo naye kitaani hapa, amekuwa ni mlevi balaa na mkorofi sana akishalewa mara akatae bill, mara afokee watu hovyo, ukimchallenge kidogo mara anataka kupigana, yaani kifupi ni vurugu tupu... na kibaya zaidi anajiita shetani. Ukiangalia profile picture yake ya whatsapp ameweka yale manembo ya kishetani illuminate, huwa simuelewagi kabisaUkifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.
Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia.
Rais wa Italia, Bwana Sergio Mattarella hana mamlaka katika serikali ya Vatican, ila Papa ana mamlaka makubwa katika serikali ya Italia.
Mtu wa Vatican anahesabika ni Muitaliamo pia, ila Muitaliano huhesabiki kama Mvatican.
Polisi wa Italia wakienda Vatican, kuna sehemu hawatakiwi kukanyaga kabisa, yaani wamewekewa mipaka ya kuvuka nchini humo.
Vatican ina raia 800 tu ila ndiyo wanaisshikilia dunia yenye binadamu zaidi ya bilioni 7.
Vatican hakuna hospitali, so hakuna suala la kusema umepata uraia kwa kuzaliwa. Wao washajiwekea ni watu 800 tu. Akifa mmoja, analetwa mwingine.
Hapo Vatican kuna museum 70,000 ambapo utaangalia historia za sehemu mbalimbali. Wana vitabu vya historia ya kila taifa duniani. So wanazijua nchi zote mpaka serikali zake. Na kwa siku hupokea watalii 25,000.
Vatican ina miaka 95 tu tangu alianzishwe.
Ndani ya Vatican, kuna maeneo mtu mwenye tattoo haruhusiwi kuingia.
Papa halipwi ila Vatican huingiza mapato ya dola milioni 300 kwa mwaka ambazo hutumika kwa ajili ya chakula, pesa kidogo kwa papa na kugharamia safari zake.
Wanajeshi kutoka nchini Uswisi ndio wanaoilinda Vatican.
Vatican haizitambui nchi mbili tu duniani, China na Korea Kaskazini.
Benki ya Vatican inamiliki assets ya dola bilioni 64.
Vatican inatumia benki ya Istituto per le Opere di Religione kuhifadhi pesa zao. Kuna kipindi wezi waliiba humo, walikufa vifo vya kutatanisha.
Unapoingia Vatican, unaruhusiwa kubeba kamera yako popote pale isipokuwa katika kanisa la Sistine.
Unapoingia kwenye museum yoyote pale Vatican, unaruhusiwa kupiga picha ila kamera isiwe na flash.
June 22 mwaka 1983 mwanamke aitwaye Emmanuela alipotea katika mazingira ya kutatanisha huko Vatican alipokuwa akisomea shule ya muziki.
Vatican inamiliki telescope kubwa huko Arizona ya kufanyia tafiti zao mbalimbali.
Huwa nawaambieni, mkisikia Papa, jua umemsikia mtu mkubwa sana, yaani mkubwa kuliko unavyofikiria. Na ukisikia Roman Catholic, jua umesikia kanisa kubwa mno kuliko unavyofikiria.
Kuna maamuzi huwezi kuyafanya pasipo ruhusa kufika Vatican.
Dunia ipo kiganjani mwao.
Mmmmh kichwa yake ina vitu vingi anajua halafu hana wa ku share naye wakaelewana...kichwa inakua ya moto muda woteMkuu nje ya mada kidogo, ni kwa nn vijana waliosomea upadre wa katoliki specifically, wakafika stage fulani huko mbelembele alafu mambo yakawashinda huko, wakirudi mtaani wanakuwa kama hawako sawa hivi. Kuna mmoja tupo naye kitaani hapa, amekuwa ni mlevi balaa na mkorofi sana akishalewa mara akatae bill, mara afokee watu hovyo, ukimchallenge kidogo mara anataka kupigana, yaani kifupi ni vurugu tupu... na kibaya zaidi anajiita shetani. Ukiangalia profile picture yake ya whatsapp ameweka yale manembo ya kishetani illuminate, huwa simuelewagi kabisa
Unafikiri huo utawa wanao somea ni utawa basi!!?Mkuu nje ya mada kidogo, ni kwa nn vijana waliosomea upadre wa katoliki specifically, wakafika stage fulani huko mbelembele alafu mambo yakawashinda huko, wakirudi mtaani wanakuwa kama hawako sawa hivi. Kuna mmoja tupo naye kitaani hapa, amekuwa ni mlevi balaa na mkorofi sana akishalewa mara akatae bill, mara afokee watu hovyo, ukimchallenge kidogo mara anataka kupigana, yaani kifupi ni vurugu tupu... na kibaya zaidi anajiita shetani. Ukiangalia profile picture yake ya whatsapp ameweka yale manembo ya kishetani illuminate, huwa simuelewagi kabisa
Sawa lakini Mungu hana kanisa,na wala hana Dini, Mungu ni Roho.Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
Hakuna walicho ruhusu bado kuna mgogoro mkubwa tu wa kutokuelewana kati ya China na VaticanNa wameruhusu baada ya kuona nguvu yake imeshapungua na wanajua namna ya kuwa control pia, maana nao wanaweka humohumo mapandikizi ya watu wao kupata taarifa za upande wa pili
Sio kweli hata kidogo bado kuna ugumuChina imeshaingia kwenye mfumo, makanisa ya Catholi pamoja na makardinal wa kichina sasa wapo chini ya Vatican tofauti na mwanzoni ambapo China iliomba serikali iwasimamie yaani mamlaka yao isitoke Vatican.North Korea napo taratibu ukatoliki umeshaingia kuna makanisa na kardinal huko.
Tuseme wamelegeza kidogo na hii labda sababu ya kuichukua Hongkong maana ndo iliokua na wakristo wengi ila pande nyingine za china ilikua ukikutwa hata na biblia msalaHakuna walicho ruhusu bado kuna mgogoro mkubwa tu wa kutokuelewana kati ya China na Vatican
Bado ngoma ngumu makubaliano waliyo ingia hayatekelezeki kama yalivyo paswa kuwa kila pande inataka kusikilizwa zaidi na kutimiziwa mahitaji yake.Tuseme wamelegeza kidogo na hii labda sababu ya kuichukua Hongkong maana ndo iliokua na wakristo wengi ila pande nyingine za china ilikua ukikutwa hata na biblia msala