Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

uislamu ulianzishwa na papa sasa jiulize dunia nzima waislamu wapo wapi.... najua mtabisha na hasira itakua kali ila nyie ni kadini ka majaribio papa aliona aanzishe kuwavuruga tamaduni ya kanzu
Kwahiyo papa akaandika Qur'an anasubiri mwezi wa ramadhan akaenda kuitupa uarabuni, au aliipelekaje?
 
kwahiyo sisi waisrael ndo mmetushusha nyota za kushikilia dunia???
 
Vatican ina ukubwa wa eka 105 tu., imeundwa juu ya vilima Saba.

Dr Slaa aliishi Vatican kwa miaka minne akisomea Chuo kikuu huko.

CDF Mstaafu Venance Mabeyo alienda Vatican mwaka jana na Mwaka huu Dr Samia Suluhu Hassan pia alienda Vatican.

Rais Mgeni akienda Vatican anaishia Italia na kulala Italia Vatican ataenda kwa appointment Maalum tu.

Pesa zinazokusanywa Vatican hutumika kutoa misaada duniani kote kwa wahitaji
 
Papa au Vatican inasikizwa sana na ndivyo ilivyo na sio sehemu za wakristo huko Kwa Waislam Papa akienda wanamsikiliza Kwa makini[emoji6]
Kuskilizwa ni kama urafiki tu ila sio kufata kile anachosema
 
Ni freemason pia, wanamtukuza shetani.
 
Katoriki ni moja wapo ya taasisi za kidini zilizokuja Africa kutupumbaza na kututapeli.

Wamekuja Africa tumewachangia mipesa wamepata mitaji, wamefungua biashara kubwa ambazo zinaingiza pesa nyingi Ila sisi sio sehemu ya umiliki wa hizo mali na biashara.

Kweli Africa ni bara la wapumbavu.
 
Wanaamini zinaenda mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…