Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

Sehemu zisizo na Wakatoliki bado zinafikika na Marekani, huwezi kimbia Vatican Dunia hii!
 
Mara uambiwe sio nchi kwa kuwa Yesu hakuja kuanzisha ufalme wa dunia!! Hao mabalozi ni wa nini? Je Yesu alikuwa na jeshi la kumlinda? Ndio maana alikamatwa tu kama kuku na kufikishwa kwa Plato
 
Unaijua historia lakini?

Ni Africa pekee ndiyo iliyonyonywa na Vatican hata uitukane Africa? Vipi North & South America? Vipi Australia na sehemu za Ulaya?

Lile sanamu kubwa pale Brazil unajua kwanini liko pale? Unajua hadi French Revolution inafanyika Wafaransa walikuwa wameshanyonywa vya kutosha na Wakatoliki? Sasa kwanini uwatukane Waafrika peke yao?

Kwa ufupi, hakuna bara ambalo halijawahi kufanyiwa (na linaloendelea kufanyiwa) exploitation na Kanisa Katoliki.
 
Mkuu nje ya mada kidogo, ni kwa nn vijana waliosomea upadre wa katoliki specifically, wakafika stage fulani huko mbelembele alafu mambo yakawashinda huko, wakirudi mtaani wanakuwa kama hawako sawa hivi. Kuna mmoja tupo naye kitaani hapa, amekuwa ni mlevi balaa na mkorofi sana akishalewa mara akatae bill, mara afokee watu hovyo, ukimchallenge kidogo mara anataka kupigana, yaani kifupi ni vurugu tupu... na kibaya zaidi anajiita shetani. Ukiangalia profile picture yake ya whatsapp ameweka yale manembo ya kishetani illuminate, huwa simuelewagi kabisa
 
Mmmmh kichwa yake ina vitu vingi anajua halafu hana wa ku share naye wakaelewana...kichwa inakua ya moto muda wote
 
Unafikiri huo utawa wanao somea ni utawa basi!!?
Ni ushetani uliopakwa utawa kwa nje!!

Ukishaondoka Kyle hauwi sawa kwasababu ushalaaniwa na hayo mashetani wanayoyatumikia huko!!

Hakuna utawa kule ni Siri ndani ya siri hadi mwenye siri kuu!!

Huko ndipo dini kuu mbili zilipoanzishwa!!
 
Na wameruhusu baada ya kuona nguvu yake imeshapungua na wanajua namna ya kuwa control pia, maana nao wanaweka humohumo mapandikizi ya watu wao kupata taarifa za upande wa pili
Hakuna walicho ruhusu bado kuna mgogoro mkubwa tu wa kutokuelewana kati ya China na Vatican
 
Sio kweli hata kidogo bado kuna ugumu
 
Kwa hiyo sasa hivi wanao miliki dinia sio wayahudi tena bali ni Vatican?
 
Hakuna walicho ruhusu bado kuna mgogoro mkubwa tu wa kutokuelewana kati ya China na Vatican
Tuseme wamelegeza kidogo na hii labda sababu ya kuichukua Hongkong maana ndo iliokua na wakristo wengi ila pande nyingine za china ilikua ukikutwa hata na biblia msala
 
Tuseme wamelegeza kidogo na hii labda sababu ya kuichukua Hongkong maana ndo iliokua na wakristo wengi ila pande nyingine za china ilikua ukikutwa hata na biblia msala
Bado ngoma ngumu makubaliano waliyo ingia hayatekelezeki kama yalivyo paswa kuwa kila pande inataka kusikilizwa zaidi na kutimiziwa mahitaji yake.

Mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni serikali ya China wala sio vatican maana hata wakiamua kufuta kanisa katoliki China na wakatengeneza la kwao wanaweza.

Papa alipofanya trip ya nchi ya jirani ya Mongolia mwaka jana aliisihi serikali ya Beijing ilegeze mashariti na iwape uhuru wa kuchagua viongozi wake wa kiimani kutoka Vatican kwa ajili ya kanisa lao.

Serikali ya Beijing bado ipo kimya labda miaka ya baadae watakubaliana na hapo lazima mmoja akubali kuwa chini and obviously binafsi naona katoliki lazima tu atakubali kuwa chini maana wakomunisti wale ni wabishi na wana misimamo.

Buddhism, Islam, Falun gong hawa wanawafahamu wakomunisti wale wa Beijing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…