Bado ngoma ngumu makubaliano waliyo ingia hayatekelezeki kama yalivyo paswa kuwa kila pande inataka kusikilizwa zaidi na kutimiziwa mahitaji yake.
Mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni serikali ya China wala sio vatican maana hata wakiamua kufuta kanisa katoliki China na wakatengeneza la kwao wanaweza.
Papa alipofanya trip ya nchi ya jirani ya Mongolia mwaka jana aliisihi serikali ya Beijing ilegeze mashariti na iwape uhuru wa kuchagua viongozi wake wa kiimani kutoka Vatican kwa ajili ya kanisa lao.
Serikali ya Beijing bado ipo kimya labda miaka ya baadae watakubaliana na hapo lazima mmoja akubali kuwa chini and obviously binafsi naona katoliki lazima tu atakubali kuwa chini maana wakomunisti wale ni wabishi na wana misimamo.
Buddhism, Islam, Falun gong hawa wanawafahamu wakomunisti wale wa Beijing