Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.
Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
View attachment 3245826
Una akili ndogo sanaAwaombe msamaha waisrael na dunia kwa kauli zake za kishenzi kabisa dhidi ya iblis Arabs wa Gaza.. adhabu ya Vita kwa Arabs ni Gadhabu za Mungu wake kitendo cha October 7 adhabu ni lazima sababu Arabs walisema wataendelea tena na tena so Mungu amewaonesha watakachokuwa wanasiasa.. sasa Papa Samaki anakosoa kipumbavu ili kumfurahisha Allah wa Waislam..
Papa kachagua side ya Allah let him go
Surat Aal-Imran (3:85)Awaombe msamaha waisrael na dunia kwa kauli zake za kishenzi kabisa dhidi ya iblis Arabs wa Gaza.. adhabu ya Vita kwa Arabs ni Gadhabu za Mungu wake kitendo cha October 7 adhabu ni lazima sababu Arabs walisema wataendelea tena na tena so Mungu amewaonesha watakachokuwa wanasiasa.. sasa Papa Samaki anakosoa kipumbavu ili kumfurahisha Allah wa Waislam..
Papa kachagua side ya Allah let him go
Si wamuombee apone,jina la yesu lashinda kila kituPole yake
Si wamuombee apone,jina la yesu lashinda kila kitu
Umechanganyikiwa.Anaenda kukutana na Mungu mwenyewe ambaye wala hawana mahusiano, asipompokea Yesu anaenda ku rott in hell Kama mashoga anaowa support
Mungu amsaidie aokoke kabla ya kutangulia mbele za haki. how i wish ningekuwa karibu naye nimwambie hili.Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.
Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
View attachment 3245826
Afe tu kanisa liponeMwenyezi Mungu akufanyie wepesii upone papa Fransics........
Mungu umkumbuke mtumishi Fransics eeeh Mungu 🙏
Hakuna ushahidi wowote kuwa mtume Petro alikuwa papaUmechanganyikiwa.
Papa Francis alirithi kiti cha mtume Petro.
Mt.16:18=Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Mtume Petro ndiye aliyekuwa Papa wa kwanza wa kanisa katoliki.
Kwa hiyo Papa Francis na wakatoliki tumesha mpokea Yesu Kristo toka enzi za mitume.Tuna mkiri na kumsifu Yesu Kristo katika kila Dominika.
Hata ikitokea Mungu akamchukua,Papa Francis ataenda mbinguni.Na atakuja Papa mwingine atakalia kiti cha mtume Petro ili Yesu Kristo aendelee kulijenga kanisa lake juu ya mwamba huo.