Vatican: Papa Francisco yupo katika Hali mahututi

Vatican: Papa Francisco yupo katika Hali mahututi

Tuokoke kivip mbona husemi sasa
WARUMI 10:9, Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. 10Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu

MATENDO 2:38 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. 39Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie. 40Akawashuhudia kwa maneno mengine mengi sana na kuwaonya, akisema, Jiokoeni na kizazi hiki chenye ukaidi. 41Nao waliolipokea neno lake wakabatizwa; na siku ile wakaongezeka watu wapata elfu tatu. 42Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.

43Kila mtu akaingiwa na hofu; ajabu nyingi na ishara zikafanywa na mitume. 44Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika, 45wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyokuwa navyo, na kuwagawia watu wote kama kila mtu alivyokuwa na haja. 46Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kushiriki chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe, 47wakimsifu Mungu, na kuwapendeza watu wote. Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.
 
Anaenda kukutana na Mungu mwenyewe ambaye wala hawana mahusiano, asipompokea Yesu anaenda ku rott in hell Kama mashoga anaowa support
Makasiriko hayaa, Poleee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makasirikooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtetezi wenu hali yake mbaya waya ya network imekatika, na Trump nae hataki kuwaskia, sisi nao tunakabia juu hatutaki kuwaona sijui mtajificha wapi
 
Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.

Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
View attachment 3245826
Unashindwa kuwaombea mayatima ,wagonjwa ,masikini na watu wanataabika nchini mwako humu kwenye jamii unakoishi ,unaenda kumuombea na kuwa concerned na lizee limoja lililojichokea huko Vatican ,
Foolish mindset kabisa
 
Kwa waliowahi soma kitabu cha utabiri wa Malachy hili halitawasumbua , imetabiriwa.kwamba huyu Pope Francis ndio last Pope ,kabla ya kuja the real antichrist
 

Attachments

Kuna breaking news toka 1 usiku huu toka Roma tuzidi kumuombea
 
Back
Top Bottom