Vatican: Papa Francisco yupo katika Hali mahututi

Vatican: Papa Francisco yupo katika Hali mahututi

Umechanganyikiwa.

Papa Francis alirithi kiti cha mtume Petro pale Vatican(Holy-see) tena alitoa moshi mweupe.

Mt.16:18=Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Mtume Petro ndiye aliyekuwa Papa wa kwanza wa kanisa katoliki.

Kwa hiyo Papa Francis na wakatoliki tumesha mpokea Yesu Kristo toka enzi za mitume wake.Tuna mkiri na kumsifu Yesu Kristo katika kila Dominika.

Hata ikitokea Mungu akamchukua,Papa Francis ataenda mbinguni.Na atakuja Papa mwingine atakalia kiti cha mtume Petro ili Yesu Kristo aendelee kulijenga kanisa lake juu ya mwamba huo.

Mtu yeyote anaye promote ushoga Kanisan, na anapokuwa ni mtu anayeangaliwa na jamii, nashindwa mtofautisha na mbwa
 
Awaombe msamaha waisrael na dunia kwa kauli zake za kishenzi kabisa dhidi ya iblis Arabs wa Gaza.. adhabu ya Vita kwa Arabs ni Gadhabu za Mungu wake kitendo cha October 7 adhabu ni lazima sababu Arabs walisema wataendelea tena na tena so Mungu amewaonesha watakachokuwa wanasiasa.. sasa Papa Samaki anakosoa kipumbavu ili kumfurahisha Allah wa Waislam..


Papa kachagua side ya Allah let him go
Wewe ni kichaa
 
Anapaswa kufa haraka sana ili kuliokoa kanisa bila hivyo hali ya kanisa itazidi kuwa mbaya sana chini yake.
Ni sera ya kanisa na sio papa. Bado maaskofu wa huku wataanza kusifia MAVI waziwazi kanisani
 
ndio wachungaji wako waliopotea wanavokufundisha? weka mstari unaosema adi tuingie mbinguni ndio tumeokoka. najua wewe ni msabato.
Hapana mm sio msabato

Navyojua hakuna mwema chini ya jua hili hata Yesu alisema alipoulizwa yeye ni mwema!

Kuokoka sijaona mahala Yesu kasema kuokoka sana sana alisisitiza tubuni na kuiamini injili ufalme wa Mungu umekaribia
 
Hapana mm sio msabato

Navyojua hakuna mwema chini ya jua hili hata Yesu alisema alipoulizwa yeye ni mwema!

Kuokoka sijaona mahala Yesu kasema kuokoka sana sana alisisitiza tubuni na kuiamini injili ufalme wa Mungu umekaribia
huwa unaenda church? huwa unahubiriwa? nipate kwanza background yako kabla ya kukufundisha.
 
Namuomba Mungu atuondoshee huyo mzee wa kubariki ushoga
 
Back
Top Bottom