Vazi la Isdal linavyowatayarisha wanawake wa Gaza kwa vita na kuheshimika. Mungu kaona juhudi zao

Kusitirika vipi mnawatesa tu? Shida ya Wanaume Kobaz ni kuwafanya wanawake kama bidhaa ya dukani!!

Wallah nakwambia siku mkiwauliza wanataka nini ndo siku hiyo watayachoma moto hayo mavazi!! Mnawapa MATESO makubwa sana wakiwa Bado hapa duniani
Hiyo Isdal ni wanawake wenyewe waliobuni na inafanya kazi nzuri kama ilivyoelezwa hapo juu.Wewe bado unasingizia wanaume.
Na kikubwa walichofanya ni kubadili mshono ilingane na hali zao lakini ni ile ile hijabu iliyotajwa kwenye Qur'an.Hivyo utaona maajabu na hekima za Mwenyezi Mungu katika maamrisho yake.
 
Hivi wanaosema Israel ni taifa teule/ taifa takatifu wana hoja gani ya msingi maana hata biblia inakataza kulipa kisasi mbona wao wako kinyume!!!!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…