Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Hiyo Isdal ni wanawake wenyewe waliobuni na inafanya kazi nzuri kama ilivyoelezwa hapo juu.Wewe bado unasingizia wanaume.Kusitirika vipi mnawatesa tu? Shida ya Wanaume Kobaz ni kuwafanya wanawake kama bidhaa ya dukani!!
Wallah nakwambia siku mkiwauliza wanataka nini ndo siku hiyo watayachoma moto hayo mavazi!! Mnawapa MATESO makubwa sana wakiwa Bado hapa duniani
Na kikubwa walichofanya ni kubadili mshono ilingane na hali zao lakini ni ile ile hijabu iliyotajwa kwenye Qur'an.Hivyo utaona maajabu na hekima za Mwenyezi Mungu katika maamrisho yake.