Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

Kweli mkuu; Mwanamke anakukosea unamsema...sasa badaya ya kufanya manjonjo naye eti anakununia...kama mkristo anaanza kuimba vipambio vya kanisani...like. bwana uu sehemu yangu rafiki yangu .....

Mzee mzima unaona nyumba haikaliki unawasha gari unakwenda sehemu unaagiza konyagi na order ya mbuzi choma.....kisha unafungua smartphone unamcheki mwenye nafasi...kukuliwaza shuba meet!!!

Kwenye ndoa mwanamke mjanja na anayejitambua aisee mwanaume wake hachomoki nina uhakika 100%.
 

Tunaomba misamaha kwa jiografia ya mwili kwa matukio maneneπŸ˜…πŸ˜…..mfano nimechelewa kurudi nyumbanπŸ˜‰πŸ˜‰...haaha menginr unavua tu nguo unajizungusha tu humo chumbanπŸ˜‘πŸ˜‘
 



Hahahahaha...aisee...sema kna mengine huwa mnacomplicate sana ..hahaa hyo ya kuimba ni kadharau fulan..na mm zaman nilikua hvyo ss hv walaaa...chaa!
 
Inategemea wapo wanao onaga aibu kuwatizama wenza wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inategemea wengine hawaridhiki wapo kama mafisi nusu saa njaa
 
Kazi ndogo ndogo za nyumbani unaweza kuvaa khanga tu ili mwili upate kupumua vzuri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…