Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

Hahahaaa,,, naamini kikao kijacho suala la mawigi kuwa mzigo kwa wanaume litaongelewa pia maana litatuumiza sana
fullsizeoutput_343f.jpeg
 
unavaaga nn home? ila mie napenda mtandio zaidi..kuna mitandio ya mtumba mizuri mikubwa..mie khanga hazifung vzr hapa front..ila navaa hvyhvy..vitenge mie spend kbs...vikubwa mnoo
Khanga hazitoshi navaa vitenge ila vazi langu haswa nikiwa home ni madera
Najiona nakua comfortable sana hata nikiwa nazurura
 
unavaaga nn home? ila mie napenda mtandio zaidi..kuna mitandio ya mtumba mizuri mikubwa..mie khanga hazifung vzr hapa front..ila navaa hvyhvy..vitenge mie spend kbs...vikubwa mnoo
Circumference ni meta ngapi mkuu mpaka kanga haifungi?
Bila picha ni sawa na mboga bila chumvi.
 
Mwanamke akiwa hana hilo umbo kwenye picha zako nae avae khanga?
Hii maada ya kibaguzi sana ukiingalia vzur
 
Hapo sasa ni weekend, kitu kimetulia hivi.....alaa unde wapi mwanaume tena......!! ha ha ha

1564142974342.png
 
Back
Top Bottom