Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

Thats nice, hongera kwa Mungu hii
 
Naomba NiPM...au niruhusu nikuPM. tafadhali sana
 
Wakati wa kuangalia tamthiliya unaweza kulipiga vile vile na linakutoa.

 
Unaweza kupumzika sebureni ukichat chat wakati unamsubiria mzee aje nyumbani....!!! "kweli maisha ni safari ndefu"


 
Mzee akichelewa sana na uhajic umechoka basi unakwenda kumsubiria chumbani....!! eti night dress mmhh na joto hili la dar aaahh, ki2 khanga ....

 
Hiyo mizigo unaeza ambiwa Kuna waya lakini we ukakanyaga tu yan Potelea kule....
 
Khanga ndogo kitenge kinakua kikubwa hasa matenge Yale ya zamani

Ningekua na kamwili unadhani ningevaa hayo madira?
Nime wafahamu wadada wenye maumbo ya kibantu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…