Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,887
Reaction score
7,673
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.

Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?

Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?

Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.
 
Huyu kijana ni wakuombewa kwakweli. Mungu amsaidie sana
 


Hahahahahaaa, hivi huyu naye ni Mkuu wa Mkoa!!! Dah!!!, jeans ya wahuni inavaliwa na RC kwenye msiba!!!!! Kweli Dar kuna RC - kiongozi wa wanyonge na maskini!!! Hana nguo ya kuvaa isipokuwa jeans liliposuka magotini!!!!
 
Kwani kanisani kunatakiwa kuvaliwa mavazi gani?

 
Mawazo yangu yananiambia kuwa hii picha sio ya leo kwenye mazishi bali ilipigwa kwenye night club mahali fulani.
 
anakumbukia enzi alizokuwa anasoma moshi uvaaji wake wa ovyo huo.
 
Hahahahahaaa, hivi huyu naye ni Mkuu wa Mkoa!!! Dah!!!, jeans ya wahuni inavaliwa na RC kwenye msiba!!!!! Kweli Dar kuna RC - kiongozi wa wanyonge na maskini!!! Hana nguo ya kuvaa isipokuwa jeans liliposuka magotini!!!!

Nasikia sikia kuwa huyo ndio Mbunge mtarajiwa wa Kawe 2020?
 
Hivi huyu ndio alisema ameongea na Mungu juzi ? hakika hawa vijana wanaopewa madaraka awamu hii ni wa ajabu sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…