wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,594
- 3,158
mbona alipotoa salam za mkoa ukumbi wa kalimjee hamkusifia lile vazi?Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.
Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?
Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?
Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613