Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa maoni yangu jeans inafaa kuswaliaaa[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Kwa hiyo kuvaa vile sio kwamba haifai kanisani tu bali hata kuvaa popte pale kwenye jamii na haifai kuvaa kwa yeyote yule au siyo mkuu?
Nimekwambia kiongozi, unajua maana ya " kiongozi"?
 
Makonda amelewa cheo alicho nacho kwamba anaweza kufanya madudu na mtu yeyote asimwambie kitu! Kwa cheo chake hicho unavaaje kihuni kabisa sehemu ya heshima kama pale penyeViongozi mbalimbali ngazi za juu akiwemo boss wake Waziri Mkuu wa Nchi, this is crazy!! Hii nidharau kubwa kwa msiba wa Mengi, Watu wa Kilimanjaro na wafiwa wote Hivi vyeo viingine Rais aache kuwapa watoto/vijana mno! Makonda amejidhihirisha tabia aliyo na, ni mhuni!
 
Nimekwambia kiongozi, unajua maana ya " kiongozi"?
Kwani kiongozi asivae jeans na wewe uvae jeans inakuwa wewe inavaa humuogopi nani na huyo kiongozi anavaa kumuogopa nani au kwa kuhofia nini mpaka ifae kwa mtu wa kawaida na kwa kiongozi isifae mkuu?
 
Nakuheshimu sana Mdau ila kwa hili hauna hoja ya kumlaumu makonda bali naona ni hamasa tu za kiushabiki humu ndani.
Nimuheshimu vipi mtu asiejiheshimu??? Huwezi kuvaa ile pedo ukaingia nayo Kanisanii... Wewe kama imekuuma wewe vaa kesho ingia nayo msikitini ili umuunge mkono mtu mpuuzi kama yule[emoji48][emoji48]
 
Nimuheshimu vipi mtu asiejiheshimu??? Huwezi kuvaa ile pedo ukaingia nayo Kanisanii... Wewe kama imekuuma wewe vaa kesho ingia nayo msikitini ili umuunge mkono mtu mpuuzi kama yule[emoji48][emoji48]
Kwa hiyo nje ya kanisa inafaa tu hamna shida?
 
Kwa hiyo nje ya kanisa inafaa tu hamna shida?
Kanisa lina miiko na ni sehemu takatifu so panahitaji kuheshimiwa... Yale sio mavazi ya heshima hasa kwa mtu kama Makonda kuingia nayo kanisani...!! Hata ofisini vile huruhusiwi kuvaa jeans na vitobo magotini what a shame...[emoji57][emoji57][emoji57] Huko nje ya kanisa ni maisha yake na taratibu zake mwenyewe me hayanihusu ila kuhusu kanisa hapana ataambiwa ukweli tu akavalie huko msikitini mnakoruhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makonda bado ni kijana acha avae
 
Mimi nilishangaa uvaaji huo wa KUHUNI,

Nafikiri anashida mahala.

Bahati mbaya Baba mtu anaona Sawa TU.
 
Dogo acha ushamba kila sehemu ina protocol ya mavazi ulazimishwi ila ukiwa zero brain ufikirii unavaa tu unavyotaka.
Kinachohalalisha pale asivae ni kipi?
Na kinachohahalisha siku zingine zisizokuwa za msiba na watu weng]ne wasiokuwa yeye wavae ni kipi?
 
Kwenye code of dressing kuna mavazi yamekatazwa kwa viongozi wa umma kuvaa.nenda kasome standing order ya utumishi wa umma. Ukiendelea kubisha sikujibu maana utakuwa mjinga.
Kwani kiongozi asivae jeans na wewe uvae jeans inakuwa wewe inavaa humuogopi nani na huyo kiongozi anavaa kumuogopa nani au kwa kuhofia nini mpaka ifae kwa mtu wa kawaida na kwa kiongozi isifae mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…