Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Maisha ya kukulia kulala kitanda ambacho uvungini anaatamia kuku ,ni tabu sana .

Ziro ni mbaya sana .Elimu ni mhimu maishani
Kuna wanaokulia maisha duni,lakini wakajengewa msingi wa maadili na ari ya upambanaji. Wanakuwa watu wa mfano sana,ila kwa huyu .......hata sielewi asee
 
Hivi huyu ndio alisema ameongea na Mungu juzi ?

Ndiye huyo, haogopi hata kidogo!!, kuongea na Mungu???!!,😁😁.

Of course yes, mtu anaweza kuongea na Mungu-- lakini ni mtu wa calibre ipi?? hilo ndilo swali la kujiuliza.
 
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.

Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?

Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?

Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
hii naitaga ni zzeerroo brain yaani akili ya kuku,uyu jamaa atakuwa anadharau wachaga,,,dawa yake nikupiga chupi chini ,avunjike huo mguu,
 
Na hilo ndo lengo la swali langu.

Sijui kwa sababu kafa Bwana mengi ndio maana isifae kuvaa jeans.

Ila siku za kawaida watu wanaenda kumuabudu Mungu kanisani na majeans yanavaliwa hayakatazwi.

Ina maana mengi ni Mkubwa kuliko Mungu wa siku za kawaida za ibada pale kanisani kiasi kwamba isifae kuvaa jeans kwenye msiba wake?
Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?
 
Ninachohoji mimi kwa wale ambao wanamponda kwa kuvaa hivyo leo msibani.
Pasi na kuangalia kwamba huyo anatakiwa nyakati zote anapokuwa katika umma wa watu avae kistaarabu.

Sasa kuna watu baadhi ya watu wao wanalaumu mavazi yake kwa picha ya kuwa kwa nini kavaa vile msibani.

Mimi ninachosema kwamba isiwe msibani tuuu bali kokote atakako kuwa akiwa katika umma wa watu.

Nakataa hayo mavazi lakini soyakatai kwenye msiba tu.nayakataa kwa ujumla wake iwe msibani au wapi.

Kama mtu ataona kwamba hilo vazi makonda inafaa kuvaa katika jambo lingine la kijamii basi nadhani hata hapo itafaa kwa sababu hakuna cha msingi cha kumzuwia hapo na kwingine kimruhusu.
Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?
 
Aliyekwambia haikemewi siku za kawaida nani?wewe unasali Kanisani wewe ili uyasikie yakikemewa au kwa sababu umesikia leo kwenye vyombo vya habari ndo unakaza shingo hapa kung'ang'ana haikemewi siku za kawaida?

Na umehudhuria misiba mingapi ukasikia hili linakemewa zaidi ya kusikia leo?shida unatafuta opportunity ya kuonekana star wa mchezo wa imani mbele ya Mungu huku ukibishiniacho hukijui,naona uzi umejaa post zako ukijifanya kujua sana.

Take it easy,siyo imani yako kaa tafuta kahawa ilipo ujiburudishe uwe msomaji busara ni pamoja na kukaa kimya.

Mbona unapata tabu mkuu kuyasema yote hayo na kuwaza mambo meengii juu yangu.

Unanizuwia nisiongee kwa kuhofia hisia zako kwangu mkuu?

Kwa hyo unasemaje sasa kwamba Mungu yupo kanisani na nje ya kanisa au siyo?
 
Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?
Kwa hiyo kuvaa vile sio kwamba haifai kanisani tu bali hata kuvaa popte pale kwenye jamii na haifai kuvaa kwa yeyote yule au siyo mkuu?
 
Yani wachaga watu wa ajabu sana pamoja na makonda kuwatukana lakini bado mumemkaribisha huko moshi,ingekuwa kule Tarime walisha mtoa nyongo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani uko serious unauliza swali la kijinga hivii???? Wewe msikitini unaendaga na boksa kama unavyoshinda chumbani kwako???
Wewe unashinda chumbani kwako na boksa au unashinda na jeans chumbani kama makonda?

Yaani ukos siriaz unatoa mfano wa jeans kufananisha na boksa mdogo wangu rikiboy?

Jeans haifai kuvaa msibani na kanisani tu ila sehemu zingine inafaa au jeans(kama ya makonda)haifai kuvaliwa popote pale katika jamii kwa uono wako waonaje?
 
Wee jamaa hujielewii kabisaaa... Ni mpumbavuu! Kama hujui suala la mipaka ya mavazi rudi la saba b... shwain kabisaaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Msiba wa kanisani mipaka yake ya mavazi ikoje?

Na hiyo mipaka imewekwa kwa ajili ya kumheshimu nani?
 
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.

Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?

Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?

Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
NI VAZI wakilishi kwa serikali ya Tanzania
 
Back
Top Bottom