EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
kama wewe una above 25 na unavaa misuruali kama hii jitafakari sasa huyu anaikimbiza 40 bado anavaa mashudu kama haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wivu tuWatanzania kwa kuongelea vitu vidogo vidogo ambavyo havina athari yoyote katika jamii wako vizuri. Uvaaji wa makonda uneathili nini shughuli nzima ya mazishi ?Mbona watu makanisani wanavaa kama alivyo vaa makonda na hawaulizwi?
Huwa unajinasibisha kama muumini wa dini ya kiislamu halafu unauliza hilo swali kweli?Kwani kanisani kunatakiwa kuvaliwa mavazi gani?
@twahil angeingia hivyo Msikitini ungefurahi eti?Wanaume wa Dar bana kwani akivaa hivyo kuna shida gani? Acha wazee waendelee kuwatambia mjini maana hamjiwezi.
Na nasikia atakuwa waziri wa mambo ya ndaniNasikia sikia kuwa huyo ndio Mbunge mtarajiwa wa Kawe 2020?
Msikitini kuingia hivyo sio dhambi kwakuwa uchi wa mwanaume unaishia kwenye magoti....labda angeweka tako nje ndio ingekuwa ishu.@twahil angeingia hivyo Msikitini ungefurahi eti?
Ok sawa sawa basi ile post yako pale juu inakosa mashiko kwa maneno mengine haukupaswa kuiweka hapa ungesubiri siku ije inayozungumzia hili jambo kwa upande wa Islam....Msikitini kuingia hivyo sio dhambi kwakuwa uchi wa mwanaume unaishia kwenye magoti....labda angeweka tako nje ndio ingekuwa ishu.
Baba Askofu alimwita madhabahuni ili ampatanishe na Mboe,kibwana mdogo kikawa kinagoma kujongea mbele
Mungu ni 1 ila mapokeo ya muongozo wa maisha ndio tofauti na kupelekea kuunda Uislamu na Ukristo.Ok sawa sawa basi ile post yako pale juu inakosa mashiko kwa maneno mengine haukupaswa kuiweka hapa ungesubiri siku ije inayozungumzia hili jambo kwa upande wa Islam....
Then usifananishe Msikitini na Kanisani maana hivyo ni vitu viwili tofauti na kote huko tunaabudu Mungu tofauti.
una evidence/ushaihidi wa hicho unachokisema?Mbona hatuoni yakikemewa katika siku za kawaida?
Kwanini ikemewe msibani alafu siku za kawaida isikemewe?
Au Mungu yupo msibani na siku za kawaida kanisani hayupo?