rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Unajua jeans aliyovaaa bashite leoo????? Eti weee bwegee...Na hilo ndo lengo la swali langu.
Sijui kwa sababu kafa Bwana mengi ndio maana isifae kuvaa jeans.
Ila siku za kawaida watu wanaenda kumuabudu Mungu kanisani na majeans yanavaliwa hayakatazwi.
Ina maana mengi ni Mkubwa kuliko Mungu wa siku za kawaida za ibada pale kanisani kiasi kwamba isifae kuvaa jeans kwenye msiba wake?