Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Kinachohalalisha pale asivae ni kipi?
Na kinachohahalisha siku zingine zisizokuwa za msiba na watu weng]ne wasiokuwa yeye wavae ni kipi?

Wewe unaona ile pedo ya Bashite yenye vitobo ni sahihi kabisa kuvaliwa Kanisani kwenye ibada ya Msiba???
 
Hahahahahaaa, hivi huyu naye ni Mkuu wa Mkoa!!! Dah!!!, jeans ya wahuni inavaliwa na RC kwenye msiba!!!!! Kweli Dar kuna RC - kiongozi wa wanyonge na maskini!!! Hana nguo ya kuvaa isipokuwa jeans liliposuka magotini!!!!
"Anasingiziwa!! au ni WIVU TU!!!
Maadili ya viongozi na waraka wa mavazi unasemaje? Aaaah mwacheni mwanangu mpendwa...
Enzi za Mwalimu Nsa Kaisi alivaa jeans akaingia bungeni wakamtimua...
Sifa zingine hizi...
 
Ibarikiwe sana.
Naona watu mnachukiaa.

Wakati mngeweka msimamo wa kukataza modo na jeans kabla ya leo.
Mngeweka msimamo wa kukataza modo na jeans katika nyumba za ibada tukufu basi watu wasingefikia hatua hii.

Huu unafki wakukemea msibani wakati siku zingine watu wanavaa na hakuna mnachosema na wala hamkatazi bado akili zinamatege.

Yani asivae jeans kwa kuwa kafa Mengi alafu siku za ibada avae huku anaenda kumuabudia Mungu?

Huwenda cheo cha Mengi kikubwa sanaa kwa upande wenu kuliko Mungu
Achana na huyo fala mshamba anaweza kwenda hata na chupi
 
Hahahahahaaa, hivi huyu naye ni Mkuu wa Mkoa!!! Dah!!!, jeans ya wahuni inavaliwa na RC kwenye msiba!!!!! Kweli Dar kuna RC - kiongozi wa wanyonge na maskini!!! Hana nguo ya kuvaa isipokuwa jeans liliposuka magotini!!!!
jamani hivi Rais haoni haya Maadili ya viongozi yako wapi? hivi hawakupewa semina? Magu unaona hasara ya kutowapa vijana wako semina maana hata cha kuvaa hwana habari!
 
Kwani kanisani kunatakiwa kuvaliwa mavazi gani?
...........Siijui imani yako ila nikuulize Msikitini muumini anaweza kuingia kavaa jeans iliyotoboka toboka?

Nakuuliza hivi coz ungekuwa Mkristo ungekuwa unajua hilo ni dhahiri kuuliza kwako sio imani yako hii.
 
Mkuu kumbe we ni mhuni? Basi mkanye mhuni mwenzako awe anaangalia na mazingira ya kufanyia uhuni wake
[emoji16] yani namaanisha kwangu hata nikiwa mtaani nikivaa damaged jeans haina madhara lakini huwa naona aibu. Sasa sembuse mkuu wa mkoa tena akiwa anajua kabisa anenda kanisani?

Yani ameonyesha dharau za makusidi kabisa.
 
Umeona eh?alidhani pale ni Kikao Cha MOAT alivyogoma kuomba radhi!Foolish kabisa.
Ile ilikuwa TEF ya akina Theofil Makunga, MOAT iko chini ya marehemu Mengi huko asingweza kufika na utoto utoto wake
 
Acheni ujinga.

Makonda yupo sawa, kutupia hio jeans.

Kanisani hakuna vazi rasmi.
Mkuu lakini kuna mambo mtu unatakiwa kuangalia pia...
Angalia hadhi yako kwenye jamii na uangalie na uzito wa tukio lile halafu unakwenda umevaa suruali kama ile....!
 
Back
Top Bottom