Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Sijawahi kulifikiri hili maishani aisee... How!??

THIS IS. TOO MUCH
 
Yaani mimi sielewi,huyu mhuni mshamba anakuwaje RC wa dsm??

Hapa inabidi tutumie hadi sayansi kungamua hili
Ni suala gumu sana kuamini me nimenyoosha mikono kuhusu huyu jamaa.. Anafanyaga utumbo waziwazi ila Jiwe hamgusii
 
Sijawahi kulifikiri hili maishani aisee... How!??

THIS IS. TOO MUCH
Bora iwr Jeans ya Heshima yani Jeans ina vitobo vitobo[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] Mlke wake nae akaona hiyo ndp Nguo mumewe avae msibani alafu linasema linamuenzi Mengi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Makondo mbwa sanaa
 
Baba Askofu alimwita madhabahuni ili ampatanishe na Mboe,kibwana mdogo kikawa kinagoma kujongea mbele
Saaa na hiyo Pedo yake anaendaje Mbel...??? na Kiburi chake cha madarakaaa.. Bashite senge sana
 
Aisee..live long James Mbatia !

Jamani Zito alikuepo?Mavazi mengine ni km unatafta bwana..kweli ht mm vazi la hivi ninalo ila siwwz vaa msibani jaman..anaonesha alichobarikiqa
 
Kijana amepewa mamlaka makubwa kuliko uwezo wa brain yake
 
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.

Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?

Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?

Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
Safi sana THE GREAT PAUL MAKONDA
THINK TANKER..OUR BRAIN POWER
 
Hakuna mkuu wa wilaya/mkoa yeyote amngeweza kuvaa vile achilia mbali hata mwananchi wa kawaida lazima ujitafakari lakini yeye katinga hivyo hivyo! Duuuh kweli akili ni Mali
Acheni wivu
 
Ndio tatizo letu watu weusi.
Hivi kwanini kila mtu asingefata kilichompeleka pale kanisan!!!
Mavazi kitu gani na yanazuia nini kweny jambo kama hilo la msiba. Mbona hajawashangaa wamasai wameenda pale na mashuka yao mapaja yapo nje kama kwel mavazi yanamata.
 
Ndo nakuuliza mkuu.
Hilo vazi ni lipi na ni maalum misibani tu siku za kawaida za ibada je?
Wewe unaona ile pedo ya Bashite yenye vitobo ni sahihi kabisa kuvaliwa Kanisani kwenye ibada ya Msiba???
 
Back
Top Bottom