Anaeongelewa ni RC na si msela wa mtaani. RC ni public figure, anatakiwa kuelewa hilo.Ndio tatizo letu watu weusi.
Hivi kwanini kila mtu asingefata kilichompeleka pale kanisan!!!
Mavazi kitu gani na yanazuia nini kweny jambo kama hilo la msiba. Mbona hajawashangaa wamasai wameenda pale na mashuka yao mapaja yapo nje kama kwel mavazi yanamata.
Ma DCs,RCs na public figures walikuwepo wegi sana, kwa nini aongelewe RC mmoja tu kati ya wengi?
tukubali hapo kuna tatizo, kama binadamu anatakiwa kulifanyia kazi. Haiwezekani jamii inamuona yeye tu kila wakati. Anatakiwa kutafakari, hayuko mbinguni bali ni duniani. Sio afya kwa kiongozi kuitwa mbele ya halaiki na mtumishi wa Mungu kupatanishwa kwa matamshi ya maudhi. N ahili la mavazi ni yeye tu?
Namshauri ndugu yetu atafakari, kibri hakitamsaidia sana hapa duniani.