rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa maoni yangu jeans inafaa kuswaliaaa[emoji57][emoji57][emoji57]Wewe unashinda chumbani kwako na boksa au unashinda na jeans chumbani kama makonda?
Yaani ukos siriaz unatoa mfano wa jeans kufananisha na boksa mdogo wangu rikiboy?
Jeans haifai kuvaa msibani na kanisani tu ila sehemu zingine inafaa au jeans(kama ya makonda)haifai kuvaliwa popote pale katika jamii kwa uono wako waonaje?