The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Jionee labels kama zote. Halafu hawa wanajiita INEC. Chadema waliona parefu sana
Kwanini asingevaa nyeusi au blueHata bendera ya Tanzania ina njano na kijani 🇹🇿🐼
Angalia vizuri hiyo picha.Hata bendera ya Tanzania ina njano na kijani 🇹🇿🐼
Samia ni bendera ya TaifaMbona hiyo ni bendera ya Taifa na Majaji huvaa hivyo hivyo?
Na hiyo picha ya Rais je?Mbona hiyo ni bendera ya Taifa na Majaji huvaa hivyo hivyo?
No Reforms No ElectionsJionee labels kama zote. Halafu hawa wanajiita INEC. Chadema waliona parefu sana
View attachment 3454110
Kama mapumbavu vile!Jionee labels kama zote. Halafu hawa wanajiita INEC. Chadema waliona parefu sana
View attachment 3454110
Ushaambiwa katiba ni kijitabu tu. Hatuna ustaarabu wala ustaafrika.Jionee labels kama zote. Halafu hawa wanajiita INEC. Chadema waliona parefu sana
View attachment 3454110
We ulitaka iwekwe ya Lisu na lile lishangazi la kizungu!!!Na hiyo picha ya Rais je?
Hiyo ni kitchen party! Hakuna tume hapo.Jionee labels kama zote. Halafu hawa wanajiita INEC. Chadema waliona parefu sana
View attachment 3454110
Bora ubaki zako tu nyumbani na kuitumia hiyo siku kucheza kidali poo na mpendwa wako.Halafu nikapange foleni kupiga kura ili iwe nini yaani?
Huo ndio ukweli halisiHii Nchi ni ya Chama kimoja
Hiyo Vyama vingi ipo kwenye makaratasi tu