Vazi la mtumishi wa Tume ya Uchaguzi linaongea

Vazi la mtumishi wa Tume ya Uchaguzi linaongea

Attachments

  • military_Page_1.jpg
    military_Page_1.jpg
    271.2 KB · Views: 19
  • military_Page_2.jpg
    military_Page_2.jpg
    249.3 KB · Views: 15
Hata bendera ya Tanzania ina njano na kijani 🇹🇿🐼
Kwa hiyo unataka na picha Mheshimiwa Kiongozi wa nchi iondolewe kwenye Ofisi ya Umma? Maana hii Ofisi ya Tume ni Ofisi ya Umma. Halafu huyo Mfanyakazi na Yeye anaruhusiwa kupiga kura!!! Sidhani kama sheria inawakataza pia kuwa wafuasi wa Chama.
 
Sahihi kabisa
Inasomeka Vyama vingi kwenye Makaratasi kwaajili ya kuombea Mikopo huko Benki ya Dunia tu

Lakini ukija field ndiyo unashangaa kumuona Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, naye anagombea Ubunge kupitia CCM 🙌

Mambo ya Chama Dola
 
Back
Top Bottom