Vazi la mtumishi wa Tume ya Uchaguzi linaongea

Tume ni ya mwenyekiti wa CCM na wasaidizi wake ni makada wa kijani.

No reforms no election.
Huu ndio ukweli.
Ila mimi nitaongeza kuwa hapo hakuna "makada wa kijani" (kwa maana ya chama cha CCM).
Hawa unaowapa ukada wa CCM hawajui lolote juu ya CCM kama chama cha siasa Hawa hata kama wanazo kadi za chama siyo wanachama halisi wa chama. Hawa ni watafuta fursa zinazo patikana ndani ya chama hicho.

Ndiyo maana kila mara nasema, ikitokea, hata kwa muujiza CCM wakapoteza mirija ya ulaji; hawa wote huwaoni tena ndani ya chama hicho.
Itakuwa ni bahati ya kipekee kabisa kama chama chote kikasambaratika, kutokana na mafisi kuwa mengi sana ndani ya chama hicho sasa hivi.
 
Ninaamini siku CCM inawekwa kando hiyo siku pia itabidi magereza yavunjwe kuongezwa ukubwa maana uhalifu walioufanya miaka 60 ni msururu mrefu wa watu.
 
Acha hao wa miaka 60 iliyo pita.
Hawa wanaotufanyia unyama sasa hivi, tena kwa maksudi kabisa; hawa ni lazima sheria ziwabane bila ya kisingizio chochote.
Hawa wamefanya uharibifu mkubwa sana kwa nchi yetu, hata bila kuangalia maswala ya kifisadi pekee. Hawa wametuvuruga sana hata katika umoja wa taifa letu.
Hawa ni watu hatari zaidi.

Matendo yao sasa ni kama wanatuambia "Tutawafanya nini"?
Mtu kama Samia sidhani kuwa atabaki hapa nchini. Huyu atakuwa anajiandaa kwenda kuishi nje.
 
Na hii ili ifanikiwe kinga ya mashtaka kwa rais lazima ianze kutolewa
Hawa wamefanya uharibifu mkubwa sana kwa nchi yetu, hata bila kuangalia maswala ya kifisadi pekee. Hawa wametuvuruga sana hata katika umoja wa taifa letu.
Hawa ni watu hatari zaidi.
Mhimili wa mahakama ukiwekwa huru sasa ndio hapa hawa watu watajua sheria haichagui
Matendo yao sasa ni kama wanatuambia "Tutawafanya nini"?
Mtu kama Samia sidhani kuwa atabaki hapa nchini. Huyu atakuwa anajiandaa kwenda kuishi nje.
Naam,kama mtu ameshajipangia anasema hata wakipigia kura kwingine CCM ndio itaunda serikali kuna haja gani ya kudanganyana kuna uchaguzi?
 
INEC Kenya inaitwa IEBC,
Yule mkuu wa IEBC alimsaidia Ruto mpaka Ruto akawa rais kwa mbinu chafu.
Jamaa (chebukati) alipewa mpunga wa kufa mtu na Ruto, lakini baada ya uchafuzi kuisha Mungu alimpenda zaidi.
 
2030 utasikia nae ni mtia nia wa ubunge kupitia ccm.
 
Jionee labels kama zote. Halafu hawa wanajiita INEC. Chadema waliona parefu sana

View attachment 3454110
Mfanyakazi wa serikali anavaa ushungi au hijabu ni upumbavu wa hali ya juu....nani aliye sema kichwa cha binadamu ni UCHI 😁😁😁 dini na unafiki wa kidini una angamiza taifa ....serikali piga marufuku hijabu mashuleni kwa sababu kichwa cha binadamu siyo uchi
 
Aha ha 😅 🤣 😆
 
Hata bendera ya Tanzania ina njano na kijani 🇹🇿🐼
Bendera ya taifa Ina njano na kijani lakini Haina picha ya Rais yeyote.

Hapa watu anaongelea vazi la mfanyakazi wa INEC kuwa na picha ya Rais ambae pia ni mgombea.

Kwa mfumo ulivyo, mfanyakazi ataacha kuwa chawa Kwa mwajiri wake kweli ili alinde na kutembea kibarua Chake?

Haja ya kufanyika mabadiliko ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom