Vazi la mtumishi wa Tume ya Uchaguzi linaongea

Hata bendera ya Tanzania ina njano na kijani ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿผ
Kwa hiyo unataka na picha Mheshimiwa Kiongozi wa nchi iondolewe kwenye Ofisi ya Umma? Maana hii Ofisi ya Tume ni Ofisi ya Umma. Halafu huyo Mfanyakazi na Yeye anaruhusiwa kupiga kura!!! Sidhani kama sheria inawakataza pia kuwa wafuasi wa Chama.
 
Sahihi kabisa
Inasomeka Vyama vingi kwenye Makaratasi kwaajili ya kuombea Mikopo huko Benki ya Dunia tu

Lakini ukija field ndiyo unashangaa kumuona Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, naye anagombea Ubunge kupitia CCM ๐Ÿ™Œ

Mambo ya Chama Dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ