Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

Usikute hayo yanayokukera kuyaona kwa macho ndio yaliyomfanya aukwae uwaziri.
Maana haingii akilini yeye kuvaa ivyo sasa wanawe?
 
hicho kijambakoti cha nini?
Hana watoto wa kumshauri avaeje?

Wanawake hasa walioolewa wa sasa hawashauriki kabisa, hasa kwa suala la mavazi, angalia alivyo vaa, suka yake lol kama form six wa familia ya akina pasi pa pune!

A luta Continua!
 
Yote yananafasi yake kuvaa nguo za heshima na kufanya kazio kwani jaamii inakutazama wewe kama kioo sasa ukiwa unavaa ovyo ata utendaji kazi wako utakuwa hovyo.Nadhan viongozi wawe ndio kiooo kwa jaamii kwa maisha yao.Tatizo hawataki kujikubali kuwa wakati unawatupa sas wanalazimisha kuwa mabint
 
Angeweka mpasuo kabisa awaharibie mwezi mzima mafisi; macho kodo kodo, ndimi nje nje mxm!
 
Wanawake hasa walioolewa wa sasa hawashauriki kabisa, hasa kwa suala la mavazi, angalia alivyo vaa, suka yake lol kama form six wa familia ya akina pasi pa pune!

A luta Continua!
Mkuu pas pa pine ndio nini? Sijaelewa
 
Wanawake hasa walioolewa wa sasa hawashauriki kabisa, hasa kwa suala la mavazi, angalia alivyo vaa, suka yake lol kama form six wa familia ya akina pasi pa pune!

A luta Continua!
Mkuu pasi pa pune ndio nini? Sijaelewa
 
Aiseeee...e ! Waziri hadi bastola zimejichora.Mbaya zaidi Waziri huyu,Wizara yake ndiyo yenye DHAMANA YA KUSIMAMIA UTAMADUNI,sijui ni Utamaduni gani anasimamia huyu.
 
Hivi mukama ana busha?
 
si ndo beijing hiyo? msishangae kwani haya ndo malezi na makuzi ya jamii zetu. Kwa nin hamkemei wanawake wanaokwenda makanisani kumuomba mungu na vipedo na mini-sketi? yaani huyu ndo mmemwona? isitoshe yeye yuko ofisini kwake akitoka anarudi home kwake. Je huyu si bora kuliko wale wanaoamsha suruali za watu makanisani wakiwa katika ibada? tunadili chanzo cha tatizo na sio symptoms..... tuwakemee makasisi na mapadri makanisani wawakataze wanawake wasiende huko ni vigua nya namna hiyo... hapa tutaanzan kujenga adabu ya kuvaa.
 

ukiangalia asilimia kubwa ya hawa wakina mama wanasiasa, narudia si wote ila asilimia kubwa, wamefika hapo kwa ajili ya kuvaa hivyo na kugawa ngono.... ili uwatamanishe wataka ngono lazima ujitangaze... na aina moja wapo ya tangazo ni kuvaa kihasara hasara...
 

afadhali asingevaa chupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…