Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

Mleta mada, ametamani hipsi la muheshimiwa!

Kwa kweli challenge za mwanamke huongezeka na majukumu/vyeo!

Imagine, asubuhi unapoamka unatakiwa uwaze yafuatayo.
1: Nguo za mumeo
2: Lunch box za watoto
3: Meetings, reports, managerial issues etc
4: Upinzani
5: How do you look, na watu watakuonaje!!!!???

Na mwanamume akiamka anasumbuliwa na:
1: Kazi
2: Kazi
3: Kazi
4: Kazi
5: Kazi

hiyo niliyo bold na kuweka red ndo inachukua 98% ya muda wao wakiwa ofisini..hahaaa
 
Unalalamika nini Hujui hiki kinakuaga chakula cha viongozi tena kwenye semina elekezi
 
nimemuona mama mpaka nimemtamani kumbe bado anafaa kutoka na kiserengeti kama mimi?
 
Hayo mambo ya mavazi yanahusika nini tena na uwaziri wake?
 
CHADEMA heshima yenu ndogo sana.
Mbona Halima Mdee anavaa kiajabu ajabu mpaka anawasaga wenzake anawapeleka mpaka Saloon,
Mbona hamuweki picha zake hapa?
Nadhani kwa vile yeye ni Waziri kivuli.
 


Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

Nami sijapendezwa na hiyo nguo, ingawa ni ndefu, lakini imekuwa na kasoro hiyo, inabana inaonyesha maungo yake, ni bora amwachie mwanae!!!!!!!!!!!
 


Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

Wewe ndugu yetu elimu yako ni level gani?? Acha njaa zako.. na signature ya Invisible inasemaje vile?.. Utakuja kupelekwe jela kwa kubaka.
 
Last edited by a moderator:
nguo ya mheshimiwa haina kasoro.. Iko poa njaa zenu zitawapeleka kubaya
 
Amemuiga yule mtangazaji wa kiume wa ITV, nae hupenda kuvaa hiki kijasti bikozi. Lakini kuonekana kwa hiyo michirizi ya nguo ya ndani nadhani kumetokana yeye kuwa na vibastola. Angekuwa kimbaumbau msingeona hiyo kitu. Kwa kuwa yeye ni waziri wa habari sio mbaya akivaa hivyo, mie nimeipenda

Ni kweli Mkuu, ni HABARI pia nayo hii, nimependa sana uchambuzi wako.
 
Inaonekana hata kwa mbele kitu ipo visible kabisa maana yule afande wa tatu kashindwa kulizuia jicho!
 
aroo kuweni na adabu....:angry::angry::angry::angry::A S thumbs_down:
 
angekuwa karibu mi ningelishika hilo burungutu manake na ningesingizia kuwa ameamsha hisia zangu...sisi wengine tukiona chupi tu tayari mtarimbo umesismama, hata kama tukipita mtaani mwanamke amianika, tayari!

Mkuu hiyo 'loketo' yako, I bet ina matatizo! Yaani ukiona c**pi tayari 'kidumu chama cha mapinduzi!'
 
Ushawahi kushuhudia akiwasaga?
nafikiri alishawahi kumsaga wife wake jamaa ndo maana ana uhakika kuwa halima yuko hivyo....jamaa ana machungu ile kinomaa...utafikiri mkewe naye ni msagwaji...hizo ni propaganda za ccm kumchafulia gwanda letu, mtachonga sana lakini mbunge wetu wa kawe ataendelea kudunda tu.
 
Back
Top Bottom