Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Mshkaji imempendezaje 😄 komandoo la kiccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukahisi ni vazi rasmi la magaidi, maana wengi kama huyu askari wanavaa vivyo
sawa mkuu. mi sioni sababu ya kulihusisha na dini maana italeta ukakasiAta wa bodaboda baadhiao nao wanavaa, wanazipenda sana
sawa mkuu. mi sioni sababu ya kulihusisha na dini maana italeta ukakasi
Ndo maana ya plainclothes soldiers,lazima uvae nguo za kuweza ku blend in na jamii arround..Huyo polisi ni muhuni,uvaaji gani huo? Yeye kavaa hivyo imamu,ustadhiau shekhe avae nini?
‘Plain officers’ wenye silaha wanatumika nchi zote in some operations; mpaka USA...nadhani siyo busara polisi kuvaa kiraia, kubeba silaha, na kuanza kukamata raia.
..napendekeza utaratibu wa polisi kuvaa sare zao wanapokamata uzingatiwe.
..hawa wanaovalia kiraia na kubeba silaha wanaleta taswira mbaya kana kwamba ni wahuni au majambazi wanaokamata raia.
..kingine kilichonisikitisha ni Polisi kutumia MBWA kwenda kutawanya kongamano la katiba la Chadema
‘Plain officers’ wenye silaha wanatumika nchi zote in some operations; mpaka USA.
Miongoni mwa kificho hicho ni hilo vazi....." askari kanzu " maana yake ni askari ambaye anafanya kazi huku ameficha utambulisho wake.
Miongoni mwa kificho hicho ni hilo vazi...
Matter of fact wanaonekana sana kwenye ‘illegal demonstrations’ popote duniani...kwa maoni yangu, ukamataja wa wafuasi wa chadema waliokwenda mahakamani wakiwa hawana silaha zozote haupaswi kufanywa na askari kanzu waliobeba masilaha makubwa.
..zipo operation ambazo zinawahitaji askari kanzu mfano ukamataji wa majambazi, wezi wa mifugo wenye silaha, na wahalifu wengine hatari.
..sio sahihi askari kanzu wenye muonekano kama wa hawa wa kwetu kuonekana katikati ya jiji wakikamata raia. wanaonekana kama majambazi au wahalifu ktk miji yetu, na wanaleta taswira kwamba there is no law and order in this country.
Matter of fact wanaonekana sana kwenye ‘illegal demonstrations’ popote duniani.
View attachment 1890885
Kwenye maandano ya Hong-Kong
View attachment 1890889
Turkey wananchi sijui walikuwa wanapinga sheria gani.
View attachment 1890892
The Hague nje ya mahakama.
Ukienda google zipo kibao za ‘plain officers’ kwenye mikusanyiko isiyo halali US na mahakamani na silaha nje nje wala hawana police vests za kujitambulisha.
Mambo mengine tuwaachie wenyewe wanajua uniform ipi inaviliwa wakati gani au mtuhumiwa yupi anatakiwa apewe priority zipi...tuige mambo mazuri, mambo mabaya tuyaache.
..sasa hivi hata mahabusu wanasindikizwa na askari ambao hawajavaa uniform.
..inaleta picha uhuni-huni kwa vyombo vyetu.
Mambo mengine tuwaachie wenyewe wanajua uniform ipi inaviliwa wakati gani au mtuhumiwa yupi anatakiwa apewe priority zipi.
Kama utakumbuka sio muda mrefu IGP alimwakia RPC mmoja kuvaa uniform za jando mahala ambapo sio sahihi.
So naamini wenyewe wanajua kazi yao kuliko uelewa wetu wa interpretation za mitazamo tu isiyo na logic za kipolisi.
Mchana mwema.
Hapana mtoa hoja yupo iwi kuvaliwa e mKwa hizi fikra zetu kuna kipindi huwa najiuliza sisi kama jamii kama tunapiga hatua za kwenda nyuma au mbele....
Muonekano wa mtu usitumike kama kipimo au fimbo ya kumchapia mtu, bali matendo yake...., kwahio kama alichofanya ni kibaya ingekuwa sawa akifanye sababu yupo uchi ?
Mtoa made yupo sahihi jiongezeni label madhara hayajatokea,Kila vazi atakalovaa askari mkamataji lazima liguse jamii fulani ama itikadi ya watu fulani,hivyo nadhani kuepuka hilo wakamate uchi.
Huko arabuni watu wanapigwa mawe na mavazi yao ya dini,wala hawavishwi majinsi ama vimini kwamba eti kuepuka kudhalilisha dini.
Dini ni imani sio mavazi.
Atakayelaumu dini fulani eti kwa sababu vazi la dini hiyo limetumika vibaya atakuwa na shida mwenyewe na wala siondini hiyo.
Sasa solution ni wao wabadilishe namna ya ukamataji na sio wabadilishe mavazi alafu ukamataji uwe ni ule ule.
Hapani ni sahihi hapaanatuchafua waislamu sio sahihi kwasababu kuvaa kazi hilo wakati upo katika kazi ya kushurutisha watu sio sahihi kabisa mazingira ya uaraburi Pakistan na hapaSomalia,afghanistan,pakistani na kwengine wanavaa mavazi gani tuanze hapo.
Maana hili kama unalako
Lile vazi ni vazi la Kiarab wala halina uhusiano wowote na dini hiyo kwani hata Waarab wakristo wanavaa hivyo, in short ni vazi la kimila. Hapa Tanzania na Afrika watu tunajiigia tu vitu bila kujuwa ukweli wake.Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda kinyume kabisa na utu wa mwanadamu hasa pale wanapomkanyaga mtuhumiwa ndani ya gari si Jambo jema. Tunaona vazi hili likitumiwa vibaya na makundi ya kihalifu na ufanya unyama Kama huu na mara zote wenye dini hii wamekuwa wakikemea dini yao kuhusishwa na masuala yakikatili. Askari kanzu aliyevalia vazi ili pale kasitu may be hakua anajua madhara yakutumia vazi ili kwenye kazi zake, may be aliamini ni vazi Kama mavazi mengine na Sasa ameibua mjadala na mjadala huu utakuwa mkubwa Dunia kadri picha hizi zinavyosambaa.
Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tujitahidi kuona madhara kabla hayajatokea na kukemea. Askari wetu kuendelea kupita mitaani na vazi hili wakiwa na silaha nikuhusianisha kazi zao na kinachofanyika Somalia na Nigeria ambapo binadamu katili uvaa vazi hili kwenda kufanya ukatili.
Ipo siku watauliza kwanini awavai mavazi ya kiaskofu au kichungaji kwenye magari yao? Pls fanyieni kazi hii siyi sign nzuri vinginevyo mseme mpo kwenye mkakati wakuuchafua utawala uliopo ambao unaongozwa bila itikadi za kidini
Ongezea. Dini siyo vazi.Upumbavu huu. Hakuna vazi la kidini. Mavazi hayo ni ya Kitamaduni. Ni either Utamaduni wa Kiarabu, Kizungu au Kiafrika.
Mbona msiba wa Mwinyi Kanzu zimevaliwa zaidi kuliko ule wa Lowassa??hakuna dini yenye mavazi yake full stop
Bila picha ni kusagiana kunguni tuMoja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine.
Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda kinyume kabisa na utu wa mwanadamu hasa pale wanapomkanyaga mtuhumiwa ndani ya gari si Jambo jema. Tunaona vazi hili likitumiwa vibaya na makundi ya kihalifu na ufanya unyama Kama huu na mara zote wenye dini hii wamekuwa wakikemea dini yao kuhusishwa na masuala yakikatili. Askari kanzu aliyevalia vazi ili pale kasitu may be hakua anajua madhara yakutumia vazi ili kwenye kazi zake, may be aliamini ni vazi Kama mavazi mengine na Sasa ameibua mjadala na mjadala huu utakuwa mkubwa Dunia kadri picha hizi zinavyosambaa.
Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, tujitahidi kuona madhara kabla hayajatokea na kukemea. Askari wetu kuendelea kupita mitaani na vazi hili wakiwa na silaha nikuhusianisha kazi zao na kinachofanyika Somalia na Nigeria ambapo binadamu katili uvaa vazi hili kwenda kufanya ukatili.
Ipo siku watauliza kwanini awavai mavazi ya kiaskofu au kichungaji kwenye magari yao? Pls fanyieni kazi hii siyi sign nzuri vinginevyo mseme mpo kwenye mkakati wakuuchafua utawala uliopo ambao unaongozwa bila itikadi za kidini