Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

Huyo polisi ni muhuni,uvaaji gani huo? Yeye kavaa hivyo imamu,ustadhiau shekhe avae nini?
Ndo maana ya plainclothes soldiers,lazima uvae nguo za kuweza ku blend in na jamii arround..
Hivi huyu kamugisha kafufuka?
 
β€˜Plain officers’ wenye silaha wanatumika nchi zote in some operations; mpaka USA.
 
β€˜Plain officers’ wenye silaha wanatumika nchi zote in some operations; mpaka USA.

..kwa maoni yangu, ukamataja wa wafuasi wa chadema waliokwenda mahakamani wakiwa hawana silaha zozote haupaswi kufanywa na askari kanzu waliobeba masilaha makubwa.

..zipo operation ambazo zinawahitaji askari kanzu mfano ukamataji wa majambazi, wezi wa mifugo wenye silaha, na wahalifu wengine hatari.

..sio sahihi askari kanzu wenye muonekano kama wa hawa wa kwetu kuonekana katikati ya jiji wakikamata raia. wanaonekana kama majambazi au wahalifu ktk miji yetu, na wanaleta taswira kwamba there is no law and order in this country.
 
Matter of fact wanaonekana sana kwenye β€˜illegal demonstrations’ popote duniani.



Kwenye maandano ya Hong-Kong



Turkey wananchi sijui walikuwa wanapinga sheria gani.



The Hague nje ya mahakama.

Ukienda google zipo kibao za β€˜plain officers’ kwenye mikusanyiko isiyo halali US na mahakamani na silaha nje nje wala hawana police vests za kujitambulisha.
 

..tuige mambo mazuri, mambo mabaya tuyaache.

..sasa hivi hata mahabusu wanasindikizwa na askari ambao hawajavaa uniform.

..inaleta picha uhuni-huni kwa vyombo vyetu.
 
..tuige mambo mazuri, mambo mabaya tuyaache.

..sasa hivi hata mahabusu wanasindikizwa na askari ambao hawajavaa uniform.

..inaleta picha uhuni-huni kwa vyombo vyetu.
Mambo mengine tuwaachie wenyewe wanajua uniform ipi inaviliwa wakati gani au mtuhumiwa yupi anatakiwa apewe priority zipi.

Kama utakumbuka sio muda mrefu IGP alimwakia RPC mmoja kuvaa uniform za jando mahala ambapo sio sahihi.

So naamini wenyewe wanajua kazi yao kuliko uelewa wetu wa interpretation za mitazamo tu isiyo na logic za kipolisi.

Mchana mwema.
 

..hawafamu nini wanafanya ndio maana wako kihuni-huni.

..ndio maana wakati mwingine wanavaa uniform zisizoendana na tukio au shughuli wanayofanya.

..au wanachanganya ktk uvaa wa uniform kama IGP alivyomkemea RPC Mambosasa.

..wakati mwingine pia askari wetu wanaonekana hawako nadhifu na hiyo ni sifa mbaya kwa jeshi la polisi.
 
Hapana mtoa hoja yupo iwi kuvaliwa e m
Mtoa made yupo sahihi jiongezeni label madhara hayajatokea,
Somalia,afghanistan,pakistani na kwengine wanavaa mavazi gani tuanze hapo.
Maana hili kama unalako
Hapani ni sahihi hapaanatuchafua waislamu sio sahihi kwasababu kuvaa kazi hilo wakati upo katika kazi ya kushurutisha watu sio sahihi kabisa mazingira ya uaraburi Pakistan na hapa
 
Lile vazi ni vazi la Kiarab wala halina uhusiano wowote na dini hiyo kwani hata Waarab wakristo wanavaa hivyo, in short ni vazi la kimila. Hapa Tanzania na Afrika watu tunajiigia tu vitu bila kujuwa ukweli wake.
 
Bila picha ni kusagiana kunguni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…