Vegetarian tukutane hapa

Vegetarian tukutane hapa

Unahangaika kukula majani ka mbuzi unaishia kukunya mavi ya kijani yanayonuka.
Kwani hii dunia ni yetu? Kula nyama nyamaza.
Mimi nasubiria daktare aniandikie ndo ntaacha
 
Amna kitu napenda kama nyama swez kuacha kutumia wala starajii
 
Aisee kwanini umeacha kula nyama? Nilikua vegetarian for 2 years 2010-2012 baada ya propaganda mbaya dhidi ya nyama kuniingia kweli. Nilipokuja kuujua ukweli uliniweka huru,adui yako ni sukari na mafuta ya kupikia. Meat is not your enemy chief .
 
Chakula cha asili cha binadamu ni nyama. Nyama isiyo na makemikali (organic) ni nzuri kwa afya. Ukitaka kupunguza uzito/unene tumia nyama (protein & fat) only. Mbogamboga, viazi, ungaunga nk, zina carbohydrate nyingi na zinasababisha ugonjwa wa kisukari
 
Back
Top Bottom