Vegetarian tukutane hapa

Vegetarian tukutane hapa

We una miaka 25 kwendda 30 we hiyo hela ya dagaa huna tuache nyama na kuku.
Mnaiga vitu msivyoweza!
Mwenzako alshabaab anakula chochote kilichopo mbere.
 
Ina maana wewe unakula nyama Hadi uende msibani? Njaa mbaya sana.
eab4477bfad20ad8eade2e7aa71d6402.jpg
 
Niliwahi kupata changamoto fulani ya kiafya mwaka 1992. Nikapimwa vipimo kibao!!! Kwenda kwa Daktari akanihoji maswali mengi sana. Mwisho akaniambia ili mambo yaende vizuri niache kula nyama!!!

Nilimuangalia nikacheka sana. Sikuacha kula nyama na bado naendelea kula; na nitaendelea kula. Nyama ambayo huwa nakula kimachale tena labda mara 1 in 6 months ni nyama ya mbuzi tu!!! Lakini nyingine nafagia zote na yale matatizo ya 1992 sijapata tena!!!
😂Aisee we ni skio la kufa
 
Back
Top Bottom