Vegetarian tukutane hapa

Unaacha kula nyama unagongwa na bodaboda unakufa[emoji17][emoji17] siku ya mazishi tunakula nyama [emoji53][emoji53]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaweza kuwa hata pescatarian mkuu.ingawa kuwa vegetarian sio shida..shida ikogo kwa Vegan,hawa watu ni kipengele aise
 
Hadi pizza huli kısa nyama?hapo sio kweli.kama ungekuwa gluten free ama lactose intolerant kibongo bongo ningeshawishika na haya maisha yetu
 
Aisee kwanini umeacha kula nyama? Nilikua vegetarian for 2 years 2010-2012 baada ya propaganda mbaya dhidi ya nyama kuniingia kweli. Nilipokuja kuujua ukweli uliniweka huru,adui yako ni sukari na mafuta ya kupikia. Meat is not your enemy chief .
Haşa sukari mkuu
 
Unaweza kuwa hata pescatarian mkuu.ingawa kuwa vegetarian sio shida..shida ikogo kwa Vegan,hawa watu ni kipengele aise
Nilikua natafuta Comment ya hivi ili nimsihi asogee soge mpka kwetu huku ma Vegan.
 
Niliwahi kupata changamoto fulani ya kiafya mwaka 1992. Nikapimwa vipimo kibao!!! Kwenda kwa Daktari akanihoji maswali mengi sana. Mwisho akaniambia ili mambo yaende vizuri niache kula nyama!!!

Nilimuangalia nikacheka sana. Sikuacha kula nyama na bado naendelea kula; na nitaendelea kula. Nyama ambayo huwa nakula kimachale tena labda mara 1 in 6 months ni nyama ya mbuzi tu!!! Lakini nyingine nafagia zote na yale matatizo ya 1992 sijapata tena!!!
 
Mkuu mbona pizza ni vegetables labda kama ukisema uwekewe nyama ila unaweza kula pizza labda hupendi tu ila nyama sio sababu
Burger pia Kuna veg burger [emoji488]
Nadhani hali pizza kwa sababu ya cheese inatokana na maziwa. Huyu nadhani ni vegan na si vegetarian. Maana vegetarian wanakula cheese.
 
Unahangaika kukula majani ka mbuzi unaishia kukunya mavi ya kijani yanayonuka.
Kwani hii dunia ni yetu? Kula nyama nyamaza.
Mimi nasubiria daktare aniandikie ndo ntaacha
Mimi aliniandikia since 1992 na bado sikukubali
 
Mbogamboga hazina carbohydrate nyingi. Usipotoshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…