Mkuu wewe ni Vegan!🫡Nilikua natafuta Comment ya hivi ili nimsihi asogee soge mpka kwetu huku ma Vegan.
Ina maana wewe unakula nyama Hadi uende msibani? Njaa mbaya sana.Unaacha kula nyama unagongwa na bodaboda unakufa😔😔 siku ya mazishi tunakula nyama 😕😕
Inategemea na aina ya mboga, mboga za majani zina carbohydrate kiasi, zingine kama viazi, mihogo, mahindi zina carbohydrate (wanga) kwa wingi ndizo zinasababisha unene ambayo kiafya si nzuriMbogamboga hazina carbohydrate nyingi. Usipotoshe.
Ina maana wewe unakula nyama Hadi uende msibani? Njaa mbaya sana.
Unaacha kula nyama unagongwa na bodaboda unakufa[emoji17][emoji17] siku ya mazishi tunakula nyama [emoji53][emoji53]
😂Aisee we ni skio la kufaNiliwahi kupata changamoto fulani ya kiafya mwaka 1992. Nikapimwa vipimo kibao!!! Kwenda kwa Daktari akanihoji maswali mengi sana. Mwisho akaniambia ili mambo yaende vizuri niache kula nyama!!!
Nilimuangalia nikacheka sana. Sikuacha kula nyama na bado naendelea kula; na nitaendelea kula. Nyama ambayo huwa nakula kimachale tena labda mara 1 in 6 months ni nyama ya mbuzi tu!!! Lakini nyingine nafagia zote na yale matatizo ya 1992 sijapata tena!!!