Vera Sidika azawadiwa gari lenye thamani ya zaidi ya billion 5 za kitanzania!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5.


Wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa viiphone mnajiona mmefika! Angalieni mwenzenu vera anaenjoy maisha ana hela sio nyie waganga njaa wa jijini!

 
I hope wewe sio me,ila kama ni me daaah.......

Kweli akili ni nywele, japo wahenga hawa kusema za eneo gani,ila nina uhakika zako sio za kichwani.
 
Sms yako inaonyesha unatetea kuhongwa!!

Vijana mna upuuzi mwingi Sana na pia hakuna hiyo gari ya B5 usitudanganye hapa shenzi
 
Dunia ya limousines ilisha pitwa na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…