Vera Sidika azawadiwa gari lenye thamani ya zaidi ya billion 5 za kitanzania!

Vera Sidika azawadiwa gari lenye thamani ya zaidi ya billion 5 za kitanzania!

Jamani hizi hela huwa wanatoaga wapi ? Tuzisake kuuza mawese ndio uwe na hela hizi nyingi? Au sielew
 
Na hao ndio malolimodo wa dada zetu mitaani[emoji3061][emoji3061].

Sasa wakiona lolimodo wao kahongwa hivyo we unazan wao wanafikil nini kwenye vichwa vyao visivyo na akili zaid ya kubeba furushi la mawigi na nywele bandia.

Hapo lazma mfumuko wa wanawake wadangaji na wapenda pesa watazid kuongezeka kama hawa malolimodo wao wanaweka waz maisha yao na jinsi wanavyotunzwa na mabwana zao, na hawa dada zetu lazma kwa akili zao waanze mkumbo wa uchunaji na kuendekeza pesa ktk mapenzi.

Utandawazi ni nyoko
 
Duh. Papuchi inanguvu, Lamousine ya 5b sio haba.
 
Back
Top Bottom