Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!



Na si kuwa na sauti nyembamba tu ila hawawezi kuimba hata kidogo....wako out of tune. Bora mwenzao Jokate aliona haya mapema maana naye alikuwa hivyo hivyo. Muziki una kanuni zake si kila mbongo fleva ni mwanamuziki kweli, wanasaidiwa na studio tu ku tune sauti zao.
 
Iko hivi anyone can sing tatizo unaimbaje. Hao kina Mobetto usikute wangefanya mziki wa asili wangetisha sana.
 
Kama ukiimba vibaya unapata pesa, viewers youtube acha waimbe kikubwa mkoni uende kinywani.
 
Watu wanakinga pesa zao you tube hata wakiamua tu kupiga mluzi nyimbo nzima umashuhuri unatosha kuuza kazi zao za sanaa,
hata hii thread imemuongezea Hamisa views huko you tube kama roho inawauma kajambeni mlale.
Wacha weee nakuona leo nimeingilia himaya yako
 
Mange anamwambia ana Nyota
Hajijui kama anapiga kelele tu
 
Wimbo wa Jojo ulikuwa mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…